Wangapi mnamfatilia Bernardo silva?
Binafsi nimepoteza muda mwingi sana kufatilia Huyu kiumbe ni Bonge LA Mido
Umri wake ni miaka 22 ila Kazi yake ni miaka 25 amekomaa na Anajua kuucheza mpira vilivyo
Ukimuangalia Bernardo silva huwezi Taman usajili wa coutinho kuja Barcelona isipokuwa mtu Huyu