swala la barca kutoka wala halina mjadala tena, wachezaji washapanic ,, , na hiyo njano ya neymar inaondoa kabisa raha ya mchezo japo hata mi natamani barca ifungweeeee
Mkuu Juve ndo timu yenye ukuta wa chuma msimu huu na Tania za Wataliano kukaba kwa nidhamu mwanzo mwisho unazijua na rafu za kipuuzi hucheza mapema wakiwa mbali