Wachezaji wabarcelona hawakuhudhuria kwa sababu za kimchezo ,kesho tuna match muhimu cap Nou na round 16 copa de ley vilevile mshindi alishaandaliwa kwenye mabox kama CCm vile bongo ndio maana wazee wa Barcelona waliivujisha mapema.....wakakana sana kama Mwenyekiti ya tume ya uchaguzi wa bongo results zimekuja zile zile Gaynardo mdo bingwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uchezaji bora kombe la dunia
Yule kashinda?
Ndo maana zinaitwa transfer rumours pale anahitajika dybala au Coutinho na watang'oka tuNasikia Barca wanataka kumleta Delle Alli next summer. Eti kweli?
Good! Mess ni sifa tu!Washabiki,viongozi,wachezaji wa barca sio wavumilivu na hawakubali kwamba team zingine na wachezaji wa team nyingine ni bora kuliko wao kwa sasa,wakati Messi anakabidhiwa balon D'OR Mara 4 mfululuzo Ronaldo alikuwa pale akipiga makofi (ishara ya muungwana ,upole ,kutojivuna,unyenyekevu,uwana michezo) ,sasa ni Mara ya pili mfululizo anabeba wasio mpenda utasikia tuzo hii imekuwa ya kisiasa ,media jmn tumesahau Ronaldo alifunga kweli Messi akawa anachukua tu tuzo kwasababu ya mafanikio ya team kabeba la liga ,kabeba copa de lay, kabeba uefa nk. Niwambie kitu ambacho ni interesting zamu yenu imepita unless Madrid wabadilishe manager mtateseka miaka kadhaa kushika kikombe chochote naona miaka 3 wachezaji wenu wakiendelea na mgomo wa FIFA awards na malalamiko mengi mkisahau kwamba xavi,iniesta ,busquete katika ubora wao walikuwa nguzo ya mafanikio hawapo tena, wakati ndio mwamuzi tukubali reality CR7 sasa ivi ana assist japo si kama Messi labda , wakati Messi akichukua Tuzo jamaa alikuwa akifunga tu,hii ni sign ya maturity ndio maana Madrid wamefunga magoli mengi kuliko nyinyi .Mpira ni kama collabo flani ivi ukiimba unampisha mwezako
Washabiki,viongozi,wachezaji wa barca sio wavumilivu na hawakubali kwamba team zingine na wachezaji wa team nyingine ni bora kuliko wao kwa sasa,wakati Messi anakabidhiwa balon D'OR Mara 4 mfululuzo Ronaldo alikuwa pale akipiga makofi (ishara ya muungwana ,upole ,kutojivuna,unyenyekevu,uwana michezo) ,sasa ni Mara ya pili mfululizo anabeba wasio mpenda utasikia tuzo hii imekuwa ya kisiasa ,media jmn tumesahau Ronaldo alifunga kweli Messi akawa anachukua tu tuzo kwasababu ya mafanikio ya team kabeba la liga ,kabeba copa de lay, kabeba uefa nk. Niwambie kitu ambacho ni interesting zamu yenu imepita unless Madrid wabadilishe manager mtateseka miaka kadhaa kushika kikombe chochote naona miaka 3 wachezaji wenu wakiendelea na mgomo wa FIFA awards na malalamiko mengi mkisahau kwamba xavi,iniesta ,busquete katika ubora wao walikuwa nguzo ya mafanikio hawapo tena, wakati ndio mwamuzi tukubali reality CR7 sasa ivi ana assist japo si kama Messi labda , wakati Messi akichukua Tuzo jamaa alikuwa akifunga tu,hii ni sign ya maturity ndio maana Madrid wamefunga magoli mengi kuliko nyinyi .Mpira ni kama collabo flani ivi ukiimba unampisha mwezako
Sipongezagi hujuma za wazi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu bro mbona mi.Messi akishinda huwa nampongeza
Ebu mpongeze Kingnaldo bas
Mwaga povu ila Barcelona atachukua mfalme na UEFASasa hivi anything happen to them wanasema wanafanyiwa njama. Kesi zao mahakamani Real Madrid anahusika na hata wakifungwa wanadai Perez anahusika. Juzi baada ya kutoa draw na Villarreal Pique na menopause yake kaanza kumshambulia Rais wa La Liga, hawana uvumilivu.
Mwekundu unazingua, Enrique anazingua. Kwani tumeanza kusema leo kuwa timu inahitaji viungo mbadala wa Iniesta na Xavi!?Mkuu kusema kocha ni mbaya ni tusi na sio fair kumbuka yeye ndo amevunja records zote za makocha invincible waliopita Barca akiwemo Pep na Frank Richkaard sema choo alichoingizwa ni kusajili midfield ambayo bado ana hope nayo sana ya Andres Gomes na Striker uchwara Paco Alcacer
Hawa watu wanasababisha hadi Neyma na King waumie sana ku balance game na hata wanasababisha Basquets aonekane chini ya kiwango so far Denis Suares na Lucas Digne ni tumaini letu sana wadogo wataijenga Barcelona sana especially next season under conditions kocha awe anawapa muda wa kucheza sana
Hii ni ndoto hii !!eti enzi zimeisha umenichekesha sana eti kwa sababu unaongoza league and still hata katikati haijafikaWashabiki,viongozi,wachezaji wa barca sio wavumilivu na hawakubali kwamba team zingine na wachezaji wa team nyingine ni bora kuliko wao kwa sasa,wakati Messi anakabidhiwa balon D'OR Mara 4 mfululuzo Ronaldo alikuwa pale akipiga makofi (ishara ya muungwana ,upole ,kutojivuna,unyenyekevu,uwana michezo) ,sasa ni Mara ya pili mfululizo anabeba wasio mpenda utasikia tuzo hii imekuwa ya kisiasa ,media jmn tumesahau Ronaldo alifunga kweli Messi akawa anachukua tu tuzo kwasababu ya mafanikio ya team kabeba la liga ,kabeba copa de lay, kabeba uefa nk. Niwambie kitu ambacho ni interesting zamu yenu imepita unless Madrid wabadilishe manager mtateseka miaka kadhaa kushika kikombe chochote naona miaka 3 wachezaji wenu wakiendelea na mgomo wa FIFA awards na malalamiko mengi mkisahau kwamba xavi,iniesta ,busquete katika ubora wao walikuwa nguzo ya mafanikio hawapo tena, wakati ndio mwamuzi tukubali reality CR7 sasa ivi ana assist japo si kama Messi labda , wakati Messi akichukua Tuzo jamaa alikuwa akifunga tu,hii ni sign ya maturity ndio maana Madrid wamefunga magoli mengi kuliko nyinyi .Mpira ni kama collabo flani ivi ukiimba unampisha mwezako
Mwaga povu ila Barcelona atachukua mfalme na UEFA
Kiongozi mapenzi yanakupofusha we figisu alizofanyiwa Antoine Griezman hauzioni?aya ameshindwa hata kupewa uchezaji bora wa ulaya wakati Uero yeye ndo alikua na magoli mengi?anakuja kupewa mtu ambaye hata fainali hakucheza na wala hakua na signifance kwenye team yake ya Taifa?totally unfairWhat the Catalans did is childish. Leo habari zimevuja wachezaji kama Iniesta individually wanted to be there lakini Board of Directors imewakataza wachezaji kuhudhuria. Halafu unavyodai mshindi kaandaliwa kama kwenye maboksi ya CCM napata wasiwasi na uelewa wako wa football. Inaelekea hata hujui kura zinapigwaje. Punguza kukaa Sana kijiweni, do your own study ujiongeze Mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Barcelona akifungwa na Bilbo nipigwe life banMapovu alikuwa anamwaga Pique juzi baada baada ya kutoa draw na Villarreal. Mi nafikiri he should try to defend good on the pitch instead of trying so hard to be relevant in the media. Kombe la mfalme Leo ndio unacheza mechi ya mwisho, and too bad about the [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] because Real Madrid and Zidane are about to break the curse this year before anyone does it.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sipongezagi hujuma za wazi
Bilbao safari yao inaishia leo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usjali leo utawapongeza bilbao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Barcelona akifungwa na Bilbo nipigwe life ban
Sawa mkishindwa naskia mechi ijayo hamta hudhuria uwanjaniBilbao safari yao inaishia leo
Kiongozi mapenzi yanakupofusha we figisu alizofanyiwa Antoine Griezman hauzioni?aya ameshindwa hata kupewa uchezaji bora wa ulaya wakati Uero yeye ndo alikua na magoli mengi?anakuja kupewa mtu ambaye hata fainali hakucheza na wala hakua na signifance kwenye team yake ya Taifa?totally unfair