Kwa kweli tunahitaji viungo ambao wakikamata dimba basi wamelikamata kweli. Hawa watoto hawalitendei haki dimba la Barca.Luis enrique sio kocha ni kama zidane mm nawakubali sana pep, klop, simeone, pochetino, konte na mourinho. Tulipofikia tunahitaji kocha aina klop kwani mpira wake ni wa kasi na kushambulia. Ss tunaendekeza falsafa timu wa kocha A akiondoka arithiwe na tim kocha B. Sasa huyu luis enrique usajili wake hauna maaana. Na kocha anaposhindwa kusajili tatizo linaanzia hapo. Angalia upande wa midfild amewachukua wa Denis Suarez,yaaaani ni kwamba kuna wachezaji wengine hawana hadhi ya kuichezea barcelona unamuuza Thiago alcantara, unambakiza rafinha alkantara. In short tym haichez vizuri kabisa tunakosa ile fluidity tuliyoizoea. Tungempata Dyabala haswaa akachezeshwa kama midfield otherwise luis enrique should sacked.
Hao uliowataja ndio walimu, ila tatizo la pep ni umapepe na kukosa Plan B. Ila Simeon ni mashine haswa.Huyo ndiye tunaemtaka pale! Yani anakupigia kote kote bila shida. ,kuna kipindi Mfalme alikua anamtajataja sana nikajua mambo yataiva, na haikuwa hivyo... huyu kocha tuliyenae kwakweli hapana aise..nilitamani hata leo angetimuliwa kabisa,sitaki hata kumuona.
Kwangu mimi
Simion
pep
Massimiliano allegri! hawa ndio wanafaa
Simeon na principle ya tiki taka wapi na wapi-hawezi kunusa kabisa Barca-sisi tunataka kuwa entertained,mpira uchezwe mbele sio dakika 70 tunalinda goal na kuvizia a sucker punchHao uliowataja ndio walimu, ila tatizo la pep ni umapepe na kukosa Plan B. Ila Simeon ni mashine haswa.
Sijaongelea Simeon kuja Barca ila ninamkubali kama kocha ambae anajiamini saaana na ana mipango mingi ya ushindi.Simeon na principle ya tiki taka wapi na wapi-hawezi kunusa kabisa Barca-sisi tunataka kuwa entertained,mpira uchezwe mbele sio dakika 70 tunalinda goal na kuvizia a sucker punch
Hapo nimekuelewa,maana ni afadhali Barca afungwe kuliko hiyo trademark tiki taka iondolewe maana natives hawataweza kuelewa-Tiki taka took ages to perfect ndio maana unaona Man city wanavyopata taabu kui master-it will take them ages. Lets hope hasira ya kufungwa juzi MSN wanaimaliza leoSijaongelea Simeon kuja Barca ila ninamkubali kama kocha ambae anajiamini saaana na ana mipango mingi ya ushindi.
Huwezekano hupo ila sio kwa trebleTrust me mwaka huu tunachukua laliga tena,Madrid atayumba sana mwezi wa 2-3 cos hawana kikosi kikubwa cha teplacement kama catalans!!
Tuta win tremble mwaka huu tena
Karibu mkuu.Hodi humu hii thread sikuwahi iona aisee mimi ni mpenz mkubwa wa Barca..natanguliza shukran kwenu
Kuna haja ya kumbadili kocha naona kama vile anapwaya sana midfield naona kama vile bado sana wanunue beki wa pembeni (segio robert) anatakiwa acheze kati
Hodi humu hii thread sikuwahi iona aisee mimi ni mpenz mkubwa wa Barca..natanguliza shukran kwenu
Hata tremble kikosi kimeshamaliza rotation tunaanza na Villarreal leo tunamkalishaHuwezekano hupo ila sio kwa treble
Trust me mwaka huu tunachukua laliga tena,Madrid atayumba sana mwezi wa 2-3 cos hawana kikosi kikubwa cha teplacement kama catalans!!
Tuta win tremble mwaka huu tena
Karibu mkuu jisikie huruHodi humu hii thread sikuwahi iona aisee mimi ni mpenz mkubwa wa Barca..natanguliza shukran kwenu
Daaah!!Simeon na principle ya tiki taka wapi na wapi-hawezi kunusa kabisa Barca-sisi tunataka kuwa entertained,mpira uchezwe mbele sio dakika 70 tunalinda goal na kuvizia a sucker punch
Jamani huyu kocha si ndio kawapa treble mwaka juzi na makombe mawili mwaka jana!!?Yeah absolutely @ mamba1...huyu kocha anatia kichefu-chefu sana,bora musiwe mnalitaja jina lake ntazimia aise. yani pale uwanjani ni juhudi tu ya wachezaji, but kocha hatuna kabisa, amekaa kama sanamu hamna analolifanya....
Baada ya miaka miaka kupita, hawa akina Sergio, Messi, Iniesta n.k wakiondoka sidhani kama Barca ataendelea na tiki taka maana hatuoni matunda mazuri sana kwa Barca B.Hapo nimekuelewa,maana ni afadhali Barca afungwe kuliko hiyo trademark tiki taka iondolewe maana natives hawataweza kuelewa-Tiki taka took ages to perfect ndio maana unaona Man city wanavyopata taabu kui master-it will take them ages. Lets hope hasira ya kufungwa juzi MSN wanaimaliza leo
Karibu saaana Mkuu, humu ndani kuna mashabiki wa kutupwa wa Barca na Messi.Hodi humu hii thread sikuwahi iona aisee mimi ni mpenz mkubwa wa Barca..natanguliza shukran kwenu
Ila kutafuta kocha kwa ajili ya Barca si mchezo.Yeah absolutely @ mamba1...huyu kocha anatia kichefu-chefu sana,bora musiwe mnalitaja jina lake ntazimia aise. yani pale uwanjani ni juhudi tu ya wachezaji, but kocha hatuna kabisa, amekaa kama sanamu hamna analolifanya....