FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

wakuu punguzeni maneno ya kichochezi kwa mpendwa wetu
 

Huyu jeremy anamiaka mingapi lakini? Mbona anaoneka babu kabisa, 38 hakosi aise
 
Kitu kimoja nnachopenda toka kwa Messi, NI UMAKINI WA KUFUNGA GOLI.

Huyu Jamaa ni hatari sana anapokuwa na Goal. Sijui kwanini Suarez na Neymar wasikae chini wakafundishwa na Messi. Yale magoli ya jana yamenikumbusha mbali sana kipindi nacheza mpira. Nilikuwa fundi sana wa magoli ya kutisha na ya kumpeleka kipa wrong direction. Mimi Messi kanizidi kwenye kuchop tu.
 
Ooh mrembo, ujambo mama! Unatoa hongera kwani umeshaahama timu. Najua njia kuu ni kule united. Huku ni nyunba ndogo. leo vp utaangalia futuhi au game ya United?
Hahahahahhaa bado nipo tu sana ila sikuhizi majukumu yamenilemaa kiasi kwamba sijaifatilia sana nyumba hii,......... bado huko futuhi sasahivi tunakupiga chini tunataka tufocus na ligi zaidi,so matokeo ya Leo sitashangaa vyovyote vile tutapokea.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…