Yaani Kikosi kile Cha best of All Nationals kinasubiri Roho mbaya ndo kichukue ubingwa???, I guess fukuza fukuza makocha ndo imeleta ubingwa, ingawa bado 2-1 kwa msimu Barca inaongoza na Trebles bado mwaisikia kwenye Pipa. By the way Hongereni
...hayo makombe mliyochukua miaka ya 1800 ndio unajiona mjanja?!, the last ten years mmeshinda UCL mara ngapi?!, tena mkisubiri mpk baba yenu Barca atolewe!....🙄🙄
na km siku ile mngekuwa mnacheza na Barca,km sio mnafiki unajua vizuri nini kingewakuta😀😀
....vijamaa vilikuwa na bahati kweli mwaka huu, wamepewa vitimu laini kuanzia hatua ya makundi!, wamekuja kucheza mechi moja ngumu fainali,nayo wakashinda kwa penalties😛😛
...hayo makombe mliyochukua miaka ya 1800 ndio unajiona mjanja?!, the last ten years mmeshinda UCL mara ngapi?!, tena mkisubiri mpk baba yenu Barca atolewe!....🙄🙄
na km siku ile mngekuwa mnacheza na Barca,km sio mnafiki unajua vizuri nini kingewakuta😀😀
...hayo makombe mliyochukua miaka ya 1800 ndio unajiona mjanja?!, the last ten years mmeshinda UCL mara ngapi?!, tena mkisubiri mpk baba yenu Barca atolewe!....🙄🙄
na km siku ile mngekuwa mnacheza na Barca,km sio mnafiki unajua vizuri nini kingewakuta😀😀
Acha kukariri kama hujui habari za mpira bora urudi jikoni tu ukaoshe vyombo. For your information, tangu mfumo mpya wa UCL uanze Real Madrid ashabeba ndio 6. More than any club. Sasa wewe unataka kusema nini?