Hivi
PNC 1 Ni mshabiki wa barcelona ipi???
maana napata mashaka hapa haelewi ni mchezaji gani yupo fit na yupi ni majeruhi kwenye timu yao!!!
hawa ndio tunaita mashabiki wa kushangilia ushindi tuu, na mkuu
barafuyamoto aliwahi kusema hawa jamaa ni mashabiki wa mkopo naona kuna ukweli HAPA!
dissappointed