Nachojua mimi hiki ni kipindi cha mpito. Barca bado tupo imara. Nawaakikishi bila shaka yoyote kuwa la liga tunaitetea. Tuna game tana bado na ni nyepesi sana . 3 tutakuwa away na mbili home. Tuna depotivo, sporting gijon, raal betis, granada na espanyola. Sasa tunashindwaje kuchukua hii ndooo!?
Niwatoe shaka ndugu zangu
Aleyn,
PNC 1, dada'ngu wa ukweli
everlenk,
jd41, na wengine.