...beki wa kati lazima;mascherano walimfix tu toka enzi ya Guardiola,coz tuna miliki sn mpira,ila hana attributes za beki wa kati,Pique nae anatakiwa mbadala wake,akiwa off form apatikane mwingine wa kucheza nafasi yake,in central midfield:Kuna siku tulilijadili hili watu wakasema ooh tunamiliki mpira 80% hamuhitaji kuwa na beki bora ila nashukuru umeliona hilo.
...nop; this is not the first time afterall,to every futballer, a period like this always come and go, stop mentioning your papers here!Poor Messi. Panama papers zimemuathiri sana . Hadi leo dk 500 (mechi tano na ushee) hajafunga goli!
Anatuaibisha kwa mitusi yake.Dogo acha matusi Leo tulikuwa hatuchomoki kabisaaa hata bila Ile penalt matokeo yangebaki vile vile tungekuwa tushatolewa.....Leo tulikuwa wabovuuuuuuuuuuuuuuuuu......Athetico deserve a win.....
Shabiki wa Mau U huyo!Kwa hyo umefurahi??
....not really,maneno ya wakosaji, tena tungepewa na ile penalty, ndio mngeenda kushitaki UN!Mi nilishasema Barca wakicheza 11 vs 11 hawatoki, wamezoea kucheza wao 11 na wengine 10 au 9.
Hamna namna, wapigwe tu!
...kipa anaedaka la liga ndio anakuwa na Consistency inayotakiwa,coz ana game nyingi zaidi zinazompa match fitness,huwezi kuwa unasubiri kudaka UCL pekee, after every two weeks,or more,bora ku rotate strikers,ila sio kipa!Umeanza kuangalia lini au umeanza kuifatilia lini barca...mpaka leo hujui kipa yupi anadaka uefa, copa del ley na yupi anadaka laliga
...mlifurahi sn kwa sababu Barca katoka,hahaaahaaa mnadhani angekuwa mbovu mngekuwa hata na muda wa kumfatilia?! think twice, and act wisely!Wiki hii imekuwa na hisia mchanganyiko kwangu, kwanza Madrid kashinda ila dah, Mnyama kaukalia. Jana Barca kafa ( NIMEFURAHI SANA) ila Yanga kashinda, mpira bhana, ila mwisho wa siku jana kibanda umiza chetu tumeimba sana usiku. Mpira raha sana sababu ya mziba wa jana usiku. Eti MSN, jana Godin kawaweka kwapani wote tozi Neymer anaishia kicheza zile moves za The Matrix kumkwepa Godin akimtuliza, dogo tulia!!
Ni wewe tu na ndo maana tuna mkosi Barca, toka lini Man U ukaipenda na Barca, embu nenda Madris uone kama Barca hatujabeba UEFA mara mbili. Dah, siamini kama tumetoka.Doooohhhh!!! Pole sana dogo relax......hili ndo soka ,Leo maneno yote yatakutoka, mbona mimi niko Barca si lazima kila shabiki wa Man U awe Madrid ?
Kwani magoli aliyofungwa Ter Stegen ni ya uzembe wake?...kipa anaedaka la liga ndio anakuwa na Consistency inayotakiwa,coz ana game nyingi zaidi zinazompa match fitness,huwezi kuwa unasubiri kudaka UCL pekee, after every two weeks,or more!
The higher you go the clearer the target you become....mlifurahi sn kwa sababu Barca katoka,hahaaahaaa mnadhani angekuwa mbovu mngekuwa hata na muda wa kumfatilia?! think twice, and act wisely!
...kausha, pamoja tunasonga!Anatuaibisha kwa mitusi yake.
Form yenu ya Mwezi huu ndo trend yenu mpaka ligi iishe.SABABU TANO MUHIMU ZA KUJIVUNIA KUIPENDA BARCELONA
1: timu pekee iliyochukua trebo mara mbili
2: timu pekee iliyoongoza wachezaji wake kutwaa uchezaji bora wa dunia mara nyini zaidi
3: timu pekee iliyobeba kombe la UEFA mara nyingi karne hii ya 21
4: timu pekee iliyowaboresha mastar waliotamba zaidi duniani Mf: Maradona De lima Dinho Cruyff n.k
5: TIMU PEKEE INAYOONGOZA KUTWAA JUMLA YA MATAJI YOTE ULAYA tangu 1899 ianzishwe had leo imetwaa makombe zaid ya 85
ZIPO SABABU NYINGI SAAANA ILA HIZO TANO NI BAADHI KATI YA SABABU MILIONI ZA KUIPENDA BARCA TOKANIKIWA NA 5yrs HIVYO WACATALONIA WENZANGU TUJIVUNIE KUWA BARCA hata hawa haters wote kumbukumbu zao zingefutwa kichwani alaf wangeambiwa wachague timu moja hakika wangeigombania Barcelona kama dhahabu
Kufungwa ni mojawapo ya matokeo hvyo SASA NGUVU YETU TUIELEKEZE KWENYE LA LIGA NA COPA DEL RAY
MTI WENYE MATUNDA NDIO UNAOPIGWA MAWE
VIVA BARCELONA
...watoto wa waganga wa kienyeji utawajua tu;full ramli!Form yenu ya Mwezi huu ndo trend yenu mpaka ligi iishe.
Sijui la liga ipi hiyo, licha ya rekodi yenu ya karne ya 21 ebu itafute rekodi ya all time ya mbaya wenu, R. Madrid, ni ASTONISHING and MIND BOGGLING wazungu wanasema.
Kwanza asante kwa kutopinga fact yeyote hapo pili Hivi mkuu kwa nini usiitangaze Arsenal yako ni hadi lini utadandiadandia timu za watuForm yenu ya Mwezi huu ndo trend yenu mpaka ligi iishe.
Sijui la liga ipi hiyo, licha ya rekodi yenu ya karne ya 21 ebu itafute rekodi ya all time ya mbaya wenu, R. Madrid, ni ASTONISHING and MIND BOGGLING wazungu wanasema.
...soma post nyingine niliyo mquote mtu,ndefu flani,nimezungumzia "our goalkeeping situation" utanielewa!Kwani magoli aliyofungwa Ter Stegen ni ya uzembe wake?
Unatumia vigezo gani kusema barca ni timu bora? Okei, ni timu bora ila sio kama mbabe wao R. Madrid. Kwa taarifa yako timu bora ya dunia ni R. Madrid ma imeizidi Barca kila kitu, kuanzia vikombe mpaka nani kamfunga mwenzake mara myingi.Kwani Madrid watafika wapi labda? Ni swala la muda tu.Barca sikuzote itabaki kuwa timu bora mtake msitake. Tumekufa kishujaa Kama simba