Dogo acha matusi Leo tulikuwa hatuchomoki kabisaaa hata bila Ile penalt matokeo yangebaki vile vile tungekuwa tushatolewa.....Leo tulikuwa wabovuuuuuuuuuuuuuuuuu......Athetico deserve a win.....
Sijafurahi ila ninajua kukubali matokeo .....nawe kubaliana tu na matokeo hayabadiliki hayo turudishe nguvu kny ligi.....Mpira unadunda unatakiwa uwe tayari kwa lolote.....