...kama kawa kazi ngumu mpe mnyamwezi,wao wameifunga timu ya 8 kwenye ligi wanachekeleaaa,Go Barca!
...kama kawa kazi ngumu mpe mnyamwezi,wao wameifunga timu ya 8 kwenye ligi wanachekeleaaa,Go Barca!
mna mukosi /// mkosi mbaya sna halafu kibaya zaidi goli zimefungwa na yule mnaesingiziaga goli zake hazina maana jamaa wale semi final
😀😀Bado mna safari ndefu so msijipe hope, ....tunaomba Mungu asaidie leo tupite!
Semi final
Madrid ♢ Bayern or Benfica
Sijui mtapumulia wapi hapo
El Baca ♢ Man city
Ushindi unaeleweka Baca oyee,
Hata tukutane kati ya hao,
Mtakao-kutananao tunapiga tu,
End of the day=we are the UEFA Champions League
Vivaaa El Vivaaa Baca
...kama kawa kazi ngumu mpe mnyamwezi,wao wameifunga timu ya 8 kwenye ligi wanachekeleaaa,Go Barca!
mkuu sikuizi jukwaa hili ndio umefanya la kupumzikia sio mbaya tuwe pamoja hapahapa hadi ucku wa leoReal Sociedad iko nafasi ya 10 kwenye la liga standings, lakini umesahau kakukojolea hata wiki haijaisha? Kweli we haupo serious.
...mbona una kichwa kizito sn,tunazungumzia UCL quarter final,wachana na biashara ya ligi za chumbani!!, km tukiweka grades, wale wolfsburg watakamata nafasi ya ngapi kwa timu zilizopo quarter final?!Real Sociedad iko nafasi ya 10 kwenye la liga standings, lakini umesahau kakukojolea hata wiki haijaisha? Kweli we haupo serious.
mkuu sikuizi jukwaa hili ndio umefanya la kupumzikia sio mbaya tuwe pamoja hapahapa hadi ucku wa leo
...dogo huku usije kichwakichwa,utakula za chembe ohooo...anyway, sshv sitaki kelele na mtoto wa mama yeyote(RM fans),mpk badae, ndo n'taanza funguka,nw niko busy na Enrique tunapanga kikosi!Ile ilikuwa robo fainali ya Champion League we pandilla usivunjie heshima haya mashindano. By the way Barca beaten their arses with 9 men at Nou Camp wako nafasi ya ngapi?
...mbona una kichwa kizito sn,tunazungumzia UCL quarter final,wachana na biashara ya ligi za chumbani!!, km tukiweka grades, wale wolfsburg watakamata nafasi ya ngapi kwa timu zilizopo quarter final?!
Hawa akina PAGAN viherehere sana..ngoja tu semi-final watacheka vizuri, labda watumie information ya 8 1 1
View attachment 337623
Sawa umesikika, una kingine?Usiongee kuhusu nusu fainali wakati haikuhusu. Leo unabakwa kwenye jiji la Madrid.
Sawa umesikika, una kingine?
...dogo huku usije kichwakichwa,utakula za chembe ohooo...anyway, sshv sitaki kelele na mtoto wa mama yeyote(RM fans),mpk badae, ndo n'taanza funguka,nw niko busy na Enrique tunapanga kikosi!
Nimekuelewa sana hapo!Tukivuka.