Zamani timu pinzani zilikuwa zinapenda sana kuiwekea bus Barcelona, siku hizi wanaogopa kufanya huo mchezo. Hata Chelsea haiwezi kuthubutu kuweka bus kama zamani dhidi ya Barcelona. Hii ndoo itarudi tena Camp Nou, labda itokee tu bahati mbaya.