ila valencia pale uwanjani pao hua sugu vibaya mno tukiangalia gem ya away season iliyopita mpaka dakika 90+3 ngoma ilikua 0-0 magicien lionel messi akaja kufanya maajabu ya kutoa bonge la assist na kubadilisha matokeo goli lilitiwa kimiani na sergio bousqeti valencia hawakuamini iliwatia hasira na kumtupia king messi chupa za maji ila 3point muhimu zikapatika viva barca visca el barca