Hahahaaaaa..... mtakomaaa na team yenu mbovuu... tatizo mesi kazidi ufupi yaani bonge la kioboteeeee...
vipi anzeni kujitetea sasa hivi kabla ya mtanange maana baada ya mtanange ni vigodoroo tuu mimi na my pacha
everlenk.
Hivi mnacheza na nani vileee