mkuu umemuelewa vibaya kuna mtu.mbishi sana gang chomba alisema kuwa barca wamebebwa mpaka final sasacili kutotaka ubishani nae akamwambia ndio wamebebwa kuanzia makundi mpaka fainali (timu gani ibebwe kila mechi) ila
Aleyn ni mkatalunya mwenye damu ya BARCELONA hvyo sote ni wamoja