Tunamshukuru Mungu kwa siku nyungine tena ni siku ya jumamosi siku ambayo MABINGWA WA SPAIN FC BARCELONA miamba ya dunia katika upande wa soka leo tukienda kutwaa kombe la pili kati ya saba tutakayoshindania mwaka huu. Ni kombe lenye heshima SPAIN kuliko la liga VIVA BARCELOOOOOOONA