Usijali sana wangu kikubwa tumepita hayo mengine tutafanya next season, hali ilikuwa tia maji tia maji hasa hiki kipindi cha pili baada ya Suarez kutolewa.......BTW kisasi tumekilipa na historia tumeivunja huu uwanja wao huwa siyo kwetu.......
Sawa lakini ilikuwa mapema sana angemuacha kwanza ausome mchezo unakwendaje.... Shem hiki kipindi cha pili hali ilikuwa mbaya sana hapa nimechoka utafikiri nilikuwa shughulini...... Lol