b5-click JF-Expert Member Joined Mar 21, 2012 Posts 2,194 Reaction score 2,113 May 9, 2015 #3,461 chebi said: kocha amtoe andriano amuingize alba na xiavi atoke aiingie mtumzima iniesta la si hivyo hawa jamaa watatukosesha ubingwa Click to expand... hahahah... akiingia tu alba anajifunga tena... ukitaka tu hizo sub zako gharika kuu linawakuta.
chebi said: kocha amtoe andriano amuingize alba na xiavi atoke aiingie mtumzima iniesta la si hivyo hawa jamaa watatukosesha ubingwa Click to expand... hahahah... akiingia tu alba anajifunga tena... ukitaka tu hizo sub zako gharika kuu linawakuta.
jackline1 JF-Expert Member Joined Oct 11, 2012 Posts 2,142 Reaction score 2,689 May 9, 2015 #3,462 Watu8 said: Sana Suarez...jamaa huwa anazingua wakati mwingine Click to expand... Suarez atakuwa kamili next season,umesahau Neymar season ya kwanza tulikuwa hatumuelewi
Watu8 said: Sana Suarez...jamaa huwa anazingua wakati mwingine Click to expand... Suarez atakuwa kamili next season,umesahau Neymar season ya kwanza tulikuwa hatumuelewi
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,357 Reaction score 108,493 May 9, 2015 #3,463 jackline1 said: Suarez atakuwa kamili next season,umesahau Neymar season ya kwanza tulikuwa hatumuelewi Click to expand... Sio kuwa namlaumu ila anakosa nafasi za wazi kabisa... Angalia kama ule mpira wa kichwa, kaishia kutoa pasi wakati alikuwa anaweza kufunga...
jackline1 said: Suarez atakuwa kamili next season,umesahau Neymar season ya kwanza tulikuwa hatumuelewi Click to expand... Sio kuwa namlaumu ila anakosa nafasi za wazi kabisa... Angalia kama ule mpira wa kichwa, kaishia kutoa pasi wakati alikuwa anaweza kufunga...
jackline1 JF-Expert Member Joined Oct 11, 2012 Posts 2,142 Reaction score 2,689 May 9, 2015 #3,464 Watu8 said: Sio kuwa namlaumu ila anakosa nafasi za wazi kabisa... Angalia kama ule mpira wa kichwa, kaishia kutoa pasi wakati alikuwa anaweza kufunga... Click to expand... Hajaweza kujiamini bado,maana lile lilikuwa goal angelenga goal
Watu8 said: Sio kuwa namlaumu ila anakosa nafasi za wazi kabisa... Angalia kama ule mpira wa kichwa, kaishia kutoa pasi wakati alikuwa anaweza kufunga... Click to expand... Hajaweza kujiamini bado,maana lile lilikuwa goal angelenga goal
D Danny greeny JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 3,856 Reaction score 1,648 May 9, 2015 #3,465 We have to win this game. 17th May tutakutana na Atletico Madrid itakuwa mechi ngumu kwetu
D Danny greeny JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 3,856 Reaction score 1,648 May 9, 2015 #3,466 Corners | FCB 8 RSO 2
kedrick JF-Expert Member Joined Apr 25, 2015 Posts 5,286 Reaction score 5,274 May 9, 2015 #3,467 Acheni kumsema suarez kwan messi hajawahi kukosa magoli
Babchabi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2012 Posts 1,745 Reaction score 777 May 9, 2015 #3,468 neymaaaaaaaarrrr
D Danny greeny JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 3,856 Reaction score 1,648 May 9, 2015 #3,469 Neymar goaaaaal
Babchabi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2012 Posts 1,745 Reaction score 777 May 9, 2015 #3,470 barca 1 wao 0
D Danny greeny JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 3,856 Reaction score 1,648 May 9, 2015 #3,471 51' Mins | FCB 1 RSO 0
D Danny greeny JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 3,856 Reaction score 1,648 May 9, 2015 #3,472 Shots | FCB 11 RSO 2 Shorts on Target | FCB 5 RSO 0
D Danny greeny JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 3,856 Reaction score 1,648 May 9, 2015 #3,473 40' Mins | Man U 1 Crystal Palace 0
Second July JF-Expert Member Joined Feb 16, 2014 Posts 234 Reaction score 323 May 9, 2015 #3,474 Rafinha is not Barca quality. Hii tunajipa ugumu sisi wenyewe. Rafinha na Xavi wote ni passers, hawatakiwi kucheza pamoja.
Rafinha is not Barca quality. Hii tunajipa ugumu sisi wenyewe. Rafinha na Xavi wote ni passers, hawatakiwi kucheza pamoja.
Second July JF-Expert Member Joined Feb 16, 2014 Posts 234 Reaction score 323 May 9, 2015 #3,475 Hii sub ya Busquet sasa itaweka game sawa. Tutakuwa na flow nzuri ya mchezo ingawaje Xavi yuko slow.
D Danny greeny JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 3,856 Reaction score 1,648 May 9, 2015 #3,476 61' Mins Bartra out Busquet In. 63' Mins Mascherano Yellow card
D Danny greeny JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 3,856 Reaction score 1,648 May 9, 2015 #3,477 68' Mins Barcelona 1 Real Sociedad 0
D Danny greeny JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 3,856 Reaction score 1,648 May 9, 2015 #3,478 70' Mins Barcelona 1 Real Sociedad 0
Second July JF-Expert Member Joined Feb 16, 2014 Posts 234 Reaction score 323 May 9, 2015 #3,479 Mi nasubir sub ya Rafinha aingie Iniesta ndo ntakuwa na amani.
D Danny greeny JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 3,856 Reaction score 1,648 May 9, 2015 #3,480 Xavi OUT Iniesta IN | 74' Mins FCB 1 RSO 0