Kipindi cha kwanza walidhani wao ndio masteringGalatasaray wamedandia mtumbwi wa vibwengo.
Ila Betis walilipa goal la Lamine. Sema ndio ivo limefutwa maskiniHT
Betis 1 Barca 2.
Hawa wababe wa madrid lazima tufanye jambo tukikaa vibaya watatuaibisha.
Yes jamaa alipiga goli kali sana.Ila Betis walilipa goal la Lamine. Sema ndio ivo limefutwa maskini
Unamzungumzia mzee wa Negreira Scars ?Yule msemaji wa familia ya Goti toka Kumbwidu atakuja na sababu mwitu za kadi nyekundu na kupendelewa.
View attachment 3692596
Mzee wa Kuamini katika namba ila namba hizo hizo kwa Messi zinagoma kuaminika.Unamzungumzia mzee wa Negreira Scars ?
Kajificha mda huu.
Kila akikumbuka Betis aliwapa kichapo cha mbwa koko aibu anaona yeye.
Mechi ilikuwa nzuri sanaYes jamaa alipiga goli kali sana.
Ila ndo hivyo siku ya kufa nyani miti yote uteleza.
Mbabe wa Madrid tumemkanda.
Jamaa wapo vizuri.Mechi ilikuwa nzuri sana
Me ni Barca ila Lamine kazingua. Baada ya ile red nilikuwa hata sina tena moral ya kuangalia mpira.
Hansi Dieter Flick.