FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Bila kumsahau the next Iniesta Marc Casado.

Hii Barca imesheeni watoto wenye vipaji wanajua mpaka wanakela.

Hii timu itasumbua sana Ulaya.
Pale kati midfields wanafaa wakae Casado Pedri na Olmo kama AMF
 
Pedri anampira fulani hivi rahis sana unlike Gavi jamaa yuko very aggressive ni bora awe anaanzia benchi kutuepusha na kadi
Ni kweli Gavi yuko aggressive sana.

Dogo ni mbishi na uwa hakubali kupitwa kirahisi.

Yuko tayari akuchezee rafu au akushike apewe kadi lakini sio kupitwa.
 
Et mnafanya high pressing harafu...mnajilinda namna hii..

Hamkabi mnakimbilia kusema Inshallah acha iwe offside.
 

Attachments

  • FB_IMG_1731276787654.jpg
    29.4 KB · Views: 22
Basila aliaanza Kwa nguvu tukajua atafika mbali kumbe 🤣🤣🤣anawapa hadi watoto wadogo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…