FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Girona wanapiga mpira ambao ni hatari sana. Jana Barcelona ni kama vile alikuwa anapewa somo dah. Girona mpaka sasa wanaongoza league.
 
Huu uzi ubadilishwe jina uitwe Inter Miami fc, maana Barca haina mashabiki, messi ndio alikua na mashabiki
 
Huu uzi ubadilishwe jina uitwe Inter Miami fc, maana Barca haina mashabiki, messi ndio alikua na mashabiki
champions league glory tu ndo watu walikua wanafata ,tuliobaki ni loyal fans tu!.Barca na Madrid watu wanazifuata Kwa ajili ya UEFA tu!
 
Kwema Blaugranas?

Tumekua vichekesho sana miaka ya hivi karibuni, but slowly naona tunaanza kurudi. Sina imani sana na Xavi, ila kikosi kinahitaji kama three world class entries ili tukamilike.

Wing ya kushoto bado ni tatizo, Joao Felix naona kama ameshindwa kufikia matarajio tuliyokua nayo kwake. Lewandoski is totally a failure. Anapoteza chances nyingi, na pia involvement yake kwenye team ni ndogo sana. Kwenye midfield, pengo la Busquets bado linatutesa. We need a good defensive midfielder.

Our defence is fine. Ni vile tu wanakua exposed sana kutokana na mapengo ya pale katikati.

I really trust La Porta. Naamini kuna vitu kadhaa atafanya kuikoa team, despite the financial crisis. Jirani yetu huko gari lake linawaka poa, akimpata na Mbappe ndio basi tena. Tutaishi kwa tabu sana!

VISCA BARCA!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…