Bado tukiwa na shida na ukuta tayari tatizo la wafungaji limeongezeka....hakuna namna timu yetu isukwe upya....cjui kipi kinachosababisha tusisajili ma straiker wa kiwango na hadhi yetu kama walivyokua enzi za MSN....
Naona safari hii tupambanie makombe ya ndani tu
Bila kurudi Pep hapo camp nou nahisi hakuna mwalimu atakayetunusuru