Kiungo wa kati wa Ubelgiji Youri Tielemans anasema kwamba anaweka hatma yake wazi huku akiendelea kujadiliana kuhusu mkataba wake na klabu ya Leicester. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 amehusishwa na uhamisho wa Liverpool, Manchester United , Barcelona na Real Madrid..