Ila mashabiki wa barca. Mpeni heshima yake koeman. Huyu no miongoni wa wachezaji waliosajiriwa mapema sana mfumo wa tick tack ukianza hapo barcelina fc. Huyu koeman ameshiriki vizuri kuacha chakula ya ubongo hapo kwenu. Kubalini hali hii ni ya mpito. Mpeni muda atawasaidieni. Hamjui historia yenu kumbe