Sio sahihi, mchezaji mzuri ata kama hayuko position yake sahihi basi ata kutoa pasi na kumiliki mpira unaboronga. Position yake ipi sahihi mana mfumo wa sasa pale mbele kila mchezaji yuko huru na mara nyingi Griezman hua asimami mbele kama number 9, kuna mda kachezeshwa winger kafeli, number 9 kafeli, kapewa uhuru wa eneo la mbele kafeli.