Nadhani kama kuna watu wenye roho ngumu ni mashabiki wa barca. Ukiangalia miaka mitatu mfulululizo barca imekua ikipigwa kutokana na ukuta kua mbovu, lakini kwenye usajili wanahangaika na safu ya ushambuliaji.
Kwa timu hii kipigo cha goli nane hakijaisha.