nipo chebi mm nagonga like za kutosha umeme umerudi ila duh! Wengi wanautaka ule wa bayern munich haya mm napata updates hapa..... Mimi nimefurahi sana bado 2 ya suarez na messi wote waondoke na hatrick zao......
wakuu nilipo muona roben katinga uwanjani nilijua tayari kapona hakuchukua hata dakika 20 katoka huyu jamaa mbaya sana saivi mechi yao iko dakika 85 1-1
wakuu nilipo muona roben katinga uwanjani nilijua tayari kapona hakuchukua hata dakika 20 katoka huyu jamaa mbaya sana saivi mechi yao iko dakika 85 1-1