Babchabi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2012 Posts 1,745 Reaction score 777 Apr 22, 2015 #2,761 everlenk, Mourinho, Danny greeny, Watu8 hivyo mngenambia yupi tukutane nae katika nusu final ​
everlenk, Mourinho, Danny greeny, Watu8 hivyo mngenambia yupi tukutane nae katika nusu final ​
Babchabi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2012 Posts 1,745 Reaction score 777 Apr 22, 2015 #2,762 mimi naomba tukutane na juve
Mourinho JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 4,619 Reaction score 2,328 Apr 22, 2015 #2,763 Aleyn said: everlenk, chebi, Mourinho, Danny greeny, Watu8 NIOMBEENI TUMBO LINANIUMA GHAFLA, natamani nichat na ninyi sasa hivi ila nashindwa, tumbo linauma sana. Yaani hapa nipo kitandani lakini nasikia maumivu makali sana. Click to expand... Pole sana ndugu na rafiki yangu, natumai uko poa muda huu. #Forza Aleyn Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Aleyn said: everlenk, chebi, Mourinho, Danny greeny, Watu8 NIOMBEENI TUMBO LINANIUMA GHAFLA, natamani nichat na ninyi sasa hivi ila nashindwa, tumbo linauma sana. Yaani hapa nipo kitandani lakini nasikia maumivu makali sana. Click to expand... Pole sana ndugu na rafiki yangu, natumai uko poa muda huu. #Forza Aleyn
Mourinho JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 4,619 Reaction score 2,328 Apr 22, 2015 #2,764 chebi said: mimi naomba tukutane na juve Click to expand... Be careful what you wish for Bwa mdogo!!!!
chebi said: mimi naomba tukutane na juve Click to expand... Be careful what you wish for Bwa mdogo!!!!
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,357 Reaction score 108,494 Apr 22, 2015 #2,765 chebi said: everlenk, Mourinho, Danny greeny, Watu8 hivyo mngenambia yupi tukutane nae katika nusu final ​ Click to expand... Either of Madrids... Juve au Bayern ni bora kukutana nao fainali...
chebi said: everlenk, Mourinho, Danny greeny, Watu8 hivyo mngenambia yupi tukutane nae katika nusu final ​ Click to expand... Either of Madrids... Juve au Bayern ni bora kukutana nao fainali...
Ntuzu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 17,418 Reaction score 10,877 Apr 22, 2015 #2,773 Watu8 said: Tafuta maji ya moto unywe... Click to expand... Ukilala mapema km Kuku sometimes ni shida.....ona sasa 9 hii usingizi umekata unabaki kugaagaa tu kah. Aleyn pole sn Mkuu... Mungu atakusaidia. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Watu8 said: Tafuta maji ya moto unywe... Click to expand... Ukilala mapema km Kuku sometimes ni shida.....ona sasa 9 hii usingizi umekata unabaki kugaagaa tu kah. Aleyn pole sn Mkuu... Mungu atakusaidia.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,357 Reaction score 108,494 Apr 22, 2015 #2,774 Ntuzu said: Ukilala mapema km Kuku sometimes ni shida.....ona sasa 9 hii usingizi umekata unabaki kugaagaa tu kah. Aleyn pole sn Mkuu... Mungu atakusaidia. Click to expand... Hahah...labda utakua ulipatwa na njozi mbaya za magoli ya Bayern Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ntuzu said: Ukilala mapema km Kuku sometimes ni shida.....ona sasa 9 hii usingizi umekata unabaki kugaagaa tu kah. Aleyn pole sn Mkuu... Mungu atakusaidia. Click to expand... Hahah...labda utakua ulipatwa na njozi mbaya za magoli ya Bayern
Ntuzu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 17,418 Reaction score 10,877 Apr 22, 2015 #2,775 Watu8 said: Hahah...labda utakua ulipatwa na njozi mbaya za magoli ya Bayern Click to expand... Hahahahaaa alafu unajua Mkuu nimechelewa kuamka! Yani wewe acha tu
Watu8 said: Hahah...labda utakua ulipatwa na njozi mbaya za magoli ya Bayern Click to expand... Hahahahaaa alafu unajua Mkuu nimechelewa kuamka! Yani wewe acha tu
Babchabi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2012 Posts 1,745 Reaction score 777 Apr 22, 2015 #2,776 Mourinho said: Be careful what you wish for Bwa mdogo!!!! Click to expand... hahahahahaaaaaaa hamna kitu juve
Mourinho said: Be careful what you wish for Bwa mdogo!!!! Click to expand... hahahahahaaaaaaa hamna kitu juve
Mourinho JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 4,619 Reaction score 2,328 Apr 22, 2015 #2,777 chebi said: hahahahahaaaaaaa hamna kitu juve Click to expand... Wewe wasema
everlenk JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 11,628 Reaction score 15,032 Apr 22, 2015 #2,778 chebi said: everlenk, Mourinho, Danny greeny, Watu8 hivyo mngenambia yupi tukutane nae katika nusu final ​ Click to expand... Kwangu tukutane na Juve
chebi said: everlenk, Mourinho, Danny greeny, Watu8 hivyo mngenambia yupi tukutane nae katika nusu final ​ Click to expand... Kwangu tukutane na Juve
everlenk JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 11,628 Reaction score 15,032 Apr 22, 2015 #2,779 Aleyn said: Dota everlenk naumwa, niombee mwanangu. Daddy wako tumbo linaniuma sana!!!! Click to expand... Daddy unaendeleaje na afya yako?...... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Aleyn said: Dota everlenk naumwa, niombee mwanangu. Daddy wako tumbo linaniuma sana!!!! Click to expand... Daddy unaendeleaje na afya yako?......
Mourinho JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 4,619 Reaction score 2,328 Apr 22, 2015 #2,780 everlenk said: Kwangu tukutane na Juve Click to expand... Mnachokitaka mtakipata