niliingia kule jukwaa la wapinzani wetu wameanza kunitukana eti nisiingie kule niende jukwaa la siasa kisa nimejibu maneno waliosema sasa nawaombea dua jumatano wayaage mashindano ua ucl