FBI ndani ya Tanzania, kazi ipo

TATIZO HUWA HAMSHIRIKISHI UBONGO KABLA YA KUONGEA!!! Hivi hawakuja waokoaji kutoka SOUTH AFRIKA NA MISRI?

FBI WAACHENI WAFANYE KAZI YAO WASIWASI WA NINI! Kama umo utakamatwa tu. Na mzizi wa fitna utoke

Hao wasouth waliokoa watu wangapi?na wale waislam waliouliwa na mkapa kule z'br 2001 mlileta nani kuja kuchunguza?
 
Na tena cha zaidi mv.Spice na ile ingne hayakuwa mauaji,ni ajali.asa kama huyo jamaa etu hawez tofautisha attack ya risasi na kuzama kwa meli basi akarudie pepa tu ka na ye kafeli.

Kama hoja yako ni risasi,kwa nn fbi hawajaletwa kipindi mkapa alipo uwa waislam kule pemba mwaka 2001?
 
Kuna siku Uamsho walichinja ng'ombe katika siku kuu yao ya kuaga siasa za fujo! Wakatembelewa ghafla na mgeni wa kustukia, mgeni huyo alishusha kioo cha gari tu na kuwaambia waendelee mpaka waikomboe nchi yao! Mgeni huyo ni Amani Abeid Karume rais mstaafu, kesho yake kwenye kuta mbali mbali katika mji wa Zanzibar iliandikwa Balahau kumbe na wewe Uamsho?
 
Walioandika vile ukutani ni makuwadi wa kitanganyika nchini zanzibar,mwisho wa siku aliwaita SAMAKI.
 
Mkuu nikiwa kama raia wa tanzania sikubali hata mara moja kuhusiana na hili.hii siyo ishara nzuri ni bora vyombo vyetu vikafanya kazi ndo wakihitaji msaada ndo wawaite wenzetu.sikubali hata mara moja na nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa vyombo vyetu vimeshindwa nina imani navyo sana.

Ila nadhani tuwe watu makini katika kuhakikisha maamuzi mengine ya kisiasa hayatuadhiri mustakabathi wa nchi yetu. Hii natolea mfano kwa wenzetu wa kenya wao walikataa mara nyingi hata kama ulibahatika kumsikiliza wagombee wa urais kwenye mdahalo walitaka kwanza wale watu waliopelekwa hague watendewe haki kenya na sio the hague. Lazima tuvipe kipaumbele vyombo vyetu kwanza ndo tukishindwa tuombee msaad. Tanzania nakupenda sana

Kwa kawaida wazanzibari ni weledi sana na hapa ndio maana watanganyika wanapata taabu sana, walifikiria baada ya kuwakamata mashekhe wananchi wataanzisha vurugu wapate kutimiza lile walilokusudia. Walipoona tumegundua njama zao sasa wameanza kuuwana mara padri , mara imamu, atafuatia sheha, lakini tunawambia wamechelewa hapa mpaka kieleweke tutakula sahani moja.
Hivi sasa tunacheza kwa wimbo wowote watakaouimba na hatutaki tufanye makosa tena bali ni kuipata zanzibar yetu tu.
TUMUOMBE MWENYEZI MUUNGU ATUSAIDIE TUWEZE KUWASHINDA MAADUI WA UISLAMU, AMEEN.
 
Tatizo ni 1 tu , wazanzibar mnamuona wenu wa kwanza aliyepitisha makubaliano pa1 na baraza lake la kipindi hiko ni majuha,kwan alilazimishwa? Si walikubaliana wakiwa na akili timamu?nani juha kati yenu na yeye ingawa si juha yeye?
 
Wana bodi,

Kulingana na taarifa ilosomwa BBC Swahili jioni hii na kudhibitishwa na msemaji wa jeshi la polisi makao makuu Bi. Senzo,
ni kwamba FBI wamefika rasmi kuongeza nguvu na weledi kufuatia picha nzima ya mauaji ya Fr. Mushi.
Maalim Seif ajipange.
 
Maalimu Seif ameshashiba sasa hata hajui anachokiongea yaani, madaraka matamu sana aisee, huwezi kabisa ukamlinganisha Sefu yule wa enzi za CUF ngangali na huyu wa sasa!
 
Mkuu vyombo kibao vilishaingia nchini mpaka pale Magogoni mbona, ndio unashtuka leo kweli!!!!!!!!!! Sasa ukiambiwa kuna Wakristo kibao wanaswalisha misikini madhabahuni kwa zaidi ya miaka mkono sasa ndio utasemaje??????????
 
Kama haitoshi kuwapuuza Wazanzibar walombeba miaka nenda rudi amewaanzishia kikundi cha kigaid (uamsho)kwa kutumia Hizbu wenzanke na kufikia hatua za kukejeli kauli za waziri mwenye dhamana ktk mambo ya ndani.
Tuupe mda nafasi,ataanikwa kweupe ..
 
Wana bodi,

Kulingana na taarifa ilosomwa BBC Swahili jioni hii na kudhibitishwa na msemaji wa jeshi la polisi makao makuu Bi. Senzo,
ni kwamba FBI wamefika rasmi kuongeza nguvu na weledi kufuatia picha nzima ya mauaji ya Fr. Mushi.
Maalim Seif ajipange.

kila siku mnasema wamefika znz lakini kesho yake kamanda wa polisi anakanusha. Kama kweli wamefika mbona wiki imeisha sasa hawajakamatwa.
Acheni kulagai wakristo nyie, hao FBI watafanya nini kama wenyeji hawatawapa uhusiano. Jiulize hao marekani wamechukua muda gani kumdaka osama ambaye alikuwa wanamjua kwa sura mpaka vipimo vya dna. Itachukua muda gani kwa ambao hata kuonekana hawajaonekana.
Serikali ya kikwete ni serikali kandamizi kwa dini moja, nyerere kwa kuwapenda wa TZ alichukua shule za kanisa kuzifanya za umma,Lakini kikwete ameingua ikulu ili silimishe watu yeye na maalim seif wake.
Jiulize kwa nini radio imani haifungi inachochoa dini na kumtukana nyerere waziwazi
Kwa nini gazeti la alhuda halifungwi huku likikejeli wakristo.
Kwa nini shehe Ilunga Hassan hapewi onyo au kushtakiwa kwa kupandikiza chuki.?
 
MAOFISA wa Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI), wamekubali kufanya upelelezi wa mauaji ya Padri Evaristus Mushi yaliyotokea Zanzibar Februari 17, mwaka huu.
Kwa mujibu wa habari za... kuaminika zilizopatikana jana maofisa hao wako nchini na tayari wamekutana na baadhi ya viongozi wa Serikali kwa ajili ya kuanza kazi hiyo.Chanzo chetu cha habari kimeeleza kuwa maofisa hao walikutana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi kwa ajili ya kuangalia ni namna gani watafanya shughuli zao katika upelelezi huo.Taarifa zinaeleza kuwa maofisa wa Serikali wamezungumza na taasisi za upelelezi za nchi tano ili kuongeza nguvu katika kazi hiyo.
Taasisi nyingine inayotajwa kwamba huenda ikashiriki katika uchunguzi huo ni Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai ya Uingereza ya Scotland Yard.
(
 
Mkuu vyombo kibao vilishaingia nchini mpaka pale Magogoni mbona, ndio unashtuka leo kweli!!!!!!!!!! Sasa ukiambiwa kuna Wakristo kibao wanaswalisha misikini madhabahuni kwa zaidi ya miaka mkono sasa ndio utasemaje??????????
Sielewi mkuu naomba ufafanuzi kwamba wakristo wanasalisha madhabahuni au misikitini?Inakuaje yaani ndio FBI wapo kazini au waumini wa kiislamu wamesahau majukumu yao kiasi cha kuongozwa nawakristo?fafanua tafadhali
 
Mmmhh!! Nawatakieni kila la kheri wanajamvi ktk kujadili mada zenu za UDINI UDINI!!!!
 
Back
Top Bottom