FBI huenda wakafungua simu ya muuaji

FBI huenda wakafungua simu ya muuaji

Hii simu kwa uhalisia FBI wangeweza kuifungua, kilichowapa shida ni kwamba data zilizopo kwenye simu zinapotea after 10 failed attempts. Sasa njia wanazotumia FBI kupata access inainvolve numerous automatic trials, ambazo kwa hiyo security ya passcode ni ngumu.

Kuifungua wanaweza, tatizo ni hiyo limitation ya 10 attempts ambayo baada ya hapo simu inaerase data zilizopo humo. So kwa mantiki hiyo by the time wamefanya attempts mpaka wafanikiwe data wanazotaka kwenye simu hazitokuwepo tena. So wao waliwataka Apple wawatengenezee backdoor ya OS ambayo itaweza kubypass hiyo limitation hyo 10 attempts kwenye passcode.

Na wao Apple walisema hawawezi kuifungua kwa sababu hawana system ya kufifadhi hizo passcode za iPhone, huwa zinakuwa ndan ya simu yenyewe. Kwa masuala mengine kama access ya iCloud account wamekuwa wakitoa ushirikano wa kutosha kwa vyombo vya usalama, kwa sababu hizo information zinakuwa stored kwenye server zao, tofauti na issue ya passcode ambayo ndiyo imeleta mgogoro hapo.
Wewe unaamini huo usanii wa Apple na FBI?!

Hivi hizo security agency za wamarekani unasiona zipo zipo tu?
 
Sio kwamba FBI wanashidwa kuna kamchezo fulan apo ka kutangaza biashara
 
naamini wana na walikuwa na uwezo wa kuifungua sema tu waliamua kuwaambia apple
Wanasema chenyewe wangeweza kufanya fbi ni kurestore na kufuta vyote vilivyomo humo ndani inamaana hata ushahidi wangeupoteza.
 
simu ya gaidi siku zote inafungwa kila kona nadhani FBI walifika sehem wakashindwa ikabidi warudi kwa Apple ili wapate msaada na wasipoteze ushahidi.
 
Back
Top Bottom