FBI huenda wakafungua simu ya muuaji

FBI huenda wakafungua simu ya muuaji

Nadhani hapa kuna kamchezo fulani. Kwa sasa duniani kuna wataalam wa cyber security na wajuzi wa reverse engeneering sizani kama kweli hizo simu za apple zinashindikana kufunguliwa. Ni mbinu tu ya kutangaza bidhaa zao

Mkuu uwezekano wa kufungua hizo simu zipo. Ila ikipatikana namna basi kampuni inajitahidi kuziba mwanya. Ndio maana ya updates unazofanya Kwenye simu. Hizo updates ni plugs za kuziba mwanya uliogundulika.
Na ndio maana FBI wakifanikiwa kufungua hio simu apple watataka kujua FBI wame weza vp kufungua then apple wataziba huo mwanya.
Ikitokea tena issue kama hii FBI hawatoweza kufungua tena simu. The only option kwa FBI ni apple kuwatengenezea hio govt OS.
 
Apple wamecheza na FBI ili waongezee mauzo hakuna kingine baada ya kampuni za simu za kimarekani kuanza kuangukia pua kwenye soko la dunia FBI awakushindwa ata kuwatumia wafanyakazi Wa Apple waifungue hiyo simu hapa naona marekani atatangaza biashara ya makampuni Yake

FBI kama FBI wameshindwa. Kama unadhani ni mchezo mbona hamna any party wamejitokeza kufungua hio simu.
Kama hujui anything kuhusu cyber security uliza uelezwe.
 
naamini wana na walikuwa na uwezo wa kuifungua sema tu waliamua kuwaambia apple
 
Wakifungua hio simu moja ndio apple wataongeza security .
Hiki kitu kinatokea kila Mara kwa tech companies, ikigunduliwa loophole ndio company inaboresha security.
The only option kwa FBI ni kukomaa hadi apple wenyewe watengeneze hio software ya kufungua simu.
FBI kupata access kwa iphone moja doesn't compromise apple security.
Fbi na apple lao moja mara ngapi apple wamelalamikiwa kwa kutoa siri za wateja wao iweje leo wajifanye eti wamegoma kuwafungulia fbi..unafki mtupu.snowden yeye ndo alitoa taarifa kuhusu simu ya angela markel kudukuliwa na fbi kwa aidi ya miaka 12 na ni iPhone
 
Nadhani hapa kuna kamchezo fulani. Kwa sasa duniani kuna wataalam wa cyber security na wajuzi wa reverse engeneering sizani kama kweli hizo simu za apple zinashindikana kufunguliwa. Ni mbinu tu ya kutangaza bidhaa zao
Siyo unadhani huo ndo ukweli uliopo mkuu hiyo phone inafunguliwa vyema tu
 
Apple wamecheza na FBI ili waongezee mauzo hakuna kingine baada ya kampuni za simu za kimarekani kuanza kuangukia pua kwenye soko la dunia FBI awakushindwa ata kuwatumia wafanyakazi Wa Apple waifungue hiyo simu hapa naona marekani atatangaza biashara ya makampuni Yake
Jinsi serikali ya marekan ilivyotenga bugdet kubwa kwenye ulinzi wasingeshindwa kumhonga mfanyakazi wa apple 100000$ ili aifungue kwa siri..ile ni biashara ili tuwaamin apple
 
Hii simu kwa uhalisia FBI wangeweza kuifungua, kilichowapa shida ni kwamba data zilizopo kwenye simu zinapotea after 10 failed attempts. Sasa njia wanazotumia FBI kupata access inainvolve numerous automatic trials, ambazo kwa hiyo security ya passcode ni ngumu.

Kuifungua wanaweza, tatizo ni hiyo limitation ya 10 attempts ambayo baada ya hapo simu inaerase data zilizopo humo. So kwa mantiki hiyo by the time wamefanya attempts mpaka wafanikiwe data wanazotaka kwenye simu hazitokuwepo tena. So wao waliwataka Apple wawatengenezee backdoor ya OS ambayo itaweza kubypass hiyo limitation hyo 10 attempts kwenye passcode.

Na wao Apple walisema hawawezi kuifungua kwa sababu hawana system ya kufifadhi hizo passcode za iPhone, huwa zinakuwa ndan ya simu yenyewe. Kwa masuala mengine kama access ya iCloud account wamekuwa wakitoa ushirikano wa kutosha kwa vyombo vya usalama, kwa sababu hizo information zinakuwa stored kwenye server zao, tofauti na issue ya passcode ambayo ndiyo imeleta mgogoro hapo.
 
Idara ya Haki ya Marekani imesema huenda shirika la upelelezi la FBI limegundua njia ya kufungua simu ya mkononi ya muuaji aliyewapiga risasi watu eneo la San Bernardino, Syed Rizwan Farook.
Idara hiyo imeiomba mahakama kuahirisha kusikilizwa kwa kesi kati ya shirika hilo dhidi ya kampuni ya utengenezaji wa simu, Apple.
View attachment 331736
Simu ya iPhone
Idara hiyo imekuwa ikishawishi mahakama ilazimishe Apple kufungua simu ya Farook, ambaye yeye na mkewe wanatuhumiwa kufanya shambulizi la bunduki na kuwaua zaidi ya watu 14 katika jimbo la California, Desemba, mwaka jana.
they can't be serious these folks. the whole fbi-apple saga was made for show on purpose ili sisi tuamini ya kuwa apple hawana ushirikiano na vyombo vya usalama vya america. hiyo temporary stand-off ya apple na fbi imeweza ku-boost mauzo ya products za apple zikiwemo hizo simu za iphone kwa kiwango kikubwa sana kwa kuwa watu sasa wanaamini ya kuwa apple is not in a position to compromise their personal data to anyone whatsoever. what they are doing here is just making a fool out of our ignorance.
 
FBI kama FBI wameshindwa. Kama unadhani ni mchezo mbona hamna any party wamejitokeza kufungua hio simu.
Kama hujui anything kuhusu cyber security uliza uelezwe.
Kwa bajeti ya FBI wasingeshindwa kuwatumia hao hao wafanyakazi Wa apple waifungue simu duniani kila kilichotengenezwa kina mbadala wake sio kwamba mainjinia Wa apple ni Bora zaidi duniani kazi yao ishindwe kuingilia Na wengine fbi Na Apple wanatangaza biashara hapa
 
Fbi na apple lao moja mara ngapi apple wamelalamikiwa kwa kutoa siri za wateja wao iweje leo wajifanye eti wamegoma kuwafungulia fbi..unafki mtupu.snowden yeye ndo alitoa taarifa kuhusu simu ya angela markel kudukuliwa na fbi kwa aidi ya miaka 12 na ni iPhone

Mkuu apple wamekuwa wana cooperate na FBI Kwenye maswala kama haya ya to access data ambazo zipo Kwenye simu.
Hata Kwenye hii case apple waliwapa FBI their engineers ili kuweza ku access data ambazo zipo Kwenye hio iphone.
Ni baada ya hao engineers wa apple kigundua kuwa FBI walishaweza ku hack iCloud password ya huyo gaidi na ndio hapo wakawa wame boogy step.
FBI wangeweza ku connect hio simu to a known wifi network then waka trigger iCloud backup. Then wakapata data zote zilizopo Kwenye simu kupitia hio backup file.
Lakini wao FBI walibadilisha iCloud password ya huyo gaidi. Na hapo wakashindwa kuendelea because inabidi sasa waingize hio password mpya Kwenye simu ndio wafanye backup. FBI walijaribu kurudisha password ya zamani lakini iCloud hairuhusu kurudisha an old password kabla ya mwaka kuisha.
Hapo ndipo FBI wakawa wanalazimisha apple watengeneze backdoor ili kufungua hio simu. Kitu ambacho kita undermine encryption security ya iOS.
 
Kwa bajeti ya FBI wasingeshindwa kuwatumia hao hao wafanyakazi Wa apple waifungue simu duniani kila kilichotengenezwa kina mbadala wake sio kwamba mainjinia Wa apple ni Bora zaidi duniani kazi yao ishindwe kuingilia Na wengine fbi Na Apple wanatangaza biashara hapa

Mkuu hio backdoor ambayo FBI wanataka is something very dangerous.
Kwenye simu tumeweka vitu vingi sana:mesages,financial data,contacts,photos, health data,music nk.
Sasa imagine key ambayo inaweza kufungua any physical apple device:Mac ,iphone ,iPad,iPod.. Hii ni sawa na master key amabayo inaweza kufungua milango yote ya benki,ofisi zote za serikali na binafsi yaani mlango wowote. That is too much power!!!
Unadhani kitu kama hicho kipo safe kweli?
 
Hii simu kwa uhalisia FBI wangeweza kuifungua, kilichowapa shida ni kwamba data zilizopo kwenye simu zinapotea after 10 failed attempts. Sasa njia wanazotumia FBI kupata access inainvolve numerous automatic trials, ambazo kwa hiyo security ya passcode ni ngumu.

Kuifungua wanaweza, tatizo ni hiyo limitation ya 10 attempts ambayo baada ya hapo simu inaerase data zilizopo humo. So kwa mantiki hiyo by the time wamefanya attempts mpaka wafanikiwe data wanazotaka kwenye simu hazitokuwepo tena. So wao waliwataka Apple wawatengenezee backdoor ya OS ambayo itaweza kubypass hiyo limitation hyo 10 attempts kwenye passcode.

Na wao Apple walisema hawawezi kuifungua kwa sababu hawana system ya kufifadhi hizo passcode za iPhone, huwa zinakuwa ndan ya simu yenyewe. Kwa masuala mengine kama access ya iCloud account wamekuwa wakitoa ushirikano wa kutosha kwa vyombo vya usalama, kwa sababu hizo information zinakuwa stored kwenye server zao, tofauti na issue ya passcode ambayo ndiyo imeleta mgogoro hapo.

Mkuu hata bila kufungua simu wangeweza kupata data zilizopo Kwenye simu. Kumbuka ndani ya 24hrs walishaweza kupata iCloud password ya jamaa na wakaibadilisha na hapo ndio waliboogy step.
Kumbuka pia apple mwanzoni walitoa engineers wasaidie FBI to access data iliopo Kwenye simu na kushindwa baada ya kugundulika FBI walishabadili iCloud password.
Wao FBI walishakosea sasa hapa wanajaribu to manipulate apple ili watengeneze new iOS ambayo Ina circumvent encription security iliopo.
 
FBI na Apple ni wanafiki sana..Kumbe wanatangaza biashara
Mbona kuna machalii wanacheza na hizo iCloud bypass zao,kujailbreak na nk hapa Tz
 
FBI wameingia mkataba wa U$15000 na kampuni ya Israel Cellebrite kuifungua hiyo simu.
 
FBI na Apple ni wanafiki sana..Kumbe wanatangaza biashara
Mbona kuna machalii wanacheza na hizo iCloud bypass zao,kujailbreak na nk hapa Tz
Seems you don't know what you are talking about.
Apple does not have access to any device running iOS 8 and above.
Kama hao watz wanaweza waambie wafungue wale Dili.
 
Ingekua ni ubalozi ikulu yao imelipuliwa mbona ingeshafunguliwa siku nyingi hizo ni biashara tu
 
Back
Top Bottom