Fatma Karume azidi kusifiwa kila kona

Hivi kaka mmawia hauna namba ya CM ya shangazi? Huwa ananimaliza sana, nataka nijaribu bahati yangu kama atanikubalia.
Mkuu hata mimi ilikuwa ndoto yangu japo resistance ni long distance
tapatalk_1548963885521.jpeg
 
Duuuu, si ungoje ninyimwe na huyu mrembo na ww ndio utake boss? Hii picha uliyoweka hapa ndio imenitia wazimu kabisa. Popote Fatuma alipo asikie kilio changu, mimi ni mtanzania mnyonge anifikirie.
Usipendele kusema unyonge mkuu pia onyesha kuwa na moyo wa kipee kwake kwa vitendo na sio maneno na linipenda vile hakujibizana na wazee wake hasa yule alinikela hila shangazi akawa akastahiki tu ndio navyozidi kupata hamasa juu yake au wa aina yake
 
Mkuu kwa uandishi huu, shangazi namchukua asubuhi saa 2 bila mpinzani.
 
Sio kila kona mkuu, kwakua hapa nilipo bado sifa zake hazijanifikia.
 
Back
Top Bottom