Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,146
- 13,216
Nimeangalia Taarifa ya Habari jana usiku (15/4/2012)na marudio leo asubuhi kupitia TBC Taifa na kuona jinsi huyu RC alivyomtemea cheche mwalimu mkuu na mtendaji kata kwa uzembe wa kiutendaji kwani shule ilionekana na nyufa nyingi huku ikiwa hata haijaisha kujengwa (ikiashiria wamepiga pesa)...vipi kama MA RC wengine mtaiga mfano wa huyu mkuu?
Ukibebwa bebeka......
Big Up Mkuu!!
Ukibebwa bebeka......
Big Up Mkuu!!