Fatma Mwasa RC Tabora atemea cheche wazembe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fatma Mwasa RC Tabora atemea cheche wazembe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Amavubi, Apr 16, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,451
  Likes Received: 4,734
  Trophy Points: 280
  Nimeangalia Taarifa ya Habari jana usiku (15/4/2012)na marudio leo asubuhi kupitia TBC Taifa na kuona jinsi huyu RC alivyomtemea cheche mwalimu mkuu na mtendaji kata kwa uzembe wa kiutendaji kwani shule ilionekana na nyufa nyingi huku ikiwa hata haijaisha kujengwa (ikiashiria wamepiga pesa)...vipi kama MA RC wengine mtaiga mfano wa huyu mkuu?

  Ukibebwa bebeka......

  Big Up Mkuu!!
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ajapewa mgao huyo!!
   
 3. Entuntumuki

  Entuntumuki Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 24, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amewadhalilisha, Walimu wakuu, Ma-DEO, Ma Afisa Mipango n.k. Mbele ya wanafunzi! Kwanini awafokee watu (tena wenye umri mkubwa kama wa baba yake) mbele ya wanafunzi hata kama kuna tatizo?
   
 4. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,430
  Trophy Points: 280
  hizo ni drama tu za utawala huu na watu wake ......kufanya kazi mbele ya kamera
   
 5. K

  Keil JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Usanii kwa kwenda mbele
   
 6. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Watanzania wenzangu na tukubali kunapokuwa na tatizo.....jumba bovu namna ile hao unaowaita watu wazima hawakuliona??? Watoto hawafundishwi..... Hakuna vyoo..... Na hela washapatiwa !!!!!!!!!!!!!!!!!

  Kawafokea au kawaaambia ukweli with a tone of authority??? Kama tutawatetea hata watendaji wa aina ile kwetu maendeleo yatakuwa ndoto

  Mytake; Wakuu wengine na waige mfano huu wa mama Mwasa
   
 7. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Utawala Bora!
   
 8. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,393
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Hafai kuigwa huyo, mwenzenu anaongea na bosi wake bila nguo.
   
 9. kiagata

  kiagata Senior Member

  #9
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Mkuu wa Mkoa huyo ndiye yule anayeishi Hotelini tangu ateuliwe kuwa mkuu wa Mkoa? kama yeye anatumia raslimali za walipa kodi kifisadi kwa kukaa hotelini wakati kuna nyumba ya Mkuu wa MKoa, kwanini watendaji wake wa chini asiige mfano wake kwa kutumia ofisi zao kujinufaisha?. Anaona uchungu gani?, aondoe boriti ndipo aone kibanzi cha mwenzake.
   
 10. kiagata

  kiagata Senior Member

  #10
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Mkuu wa Mkoa huyo ndiye yule anayeishi Hotelini tangu ateuliwe kuwa mkuu wa Mkoa? kama yeye anatumia raslimali za walipa kodi kifisadi kwa kukaa hotelini wakati kuna nyumba ya Mkuu wa MKoa, kwanini watendaji wake wa chini asiige mfano wake kwa kutumia ofisi zao kujinufaisha?. Anaona uchungu gani?, aondoe boriti ndipo aone kibanzi cha mwenzake.
  Nyuga zziliofichwa

  [TABLE="class: gstl_0 lst-t"]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [TD="class: gsib_a"]
  [/TD]
  [TD="class: gsib_b"] [TABLE="width: 100%"]
  [TR]
  [TD]
  [/TD]
  [TD][​IMG][/TD]
  [TD]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  Tafuta
  Matokeo 34 hivi (sekunde 0,13)  ZaidiChache

  • Mwanza

  Badilisha mahali
  [h=2]Chaguo za Utafutaji[/h]
  Zana za chache za utafutajiZana zaidi za utafutaji

  [h=2]Matokeo ya Utafutaji[/h]
  1. [h=3]Kauli tata sana ya RC-Tabora dhidi ya Rais wa nchi[/h]

   www.jamiiforums.com › General Forums › Jukwaa la SiasaZilizo kwenye kache
   Wewe +hii 1'd kwa umma Tendua
   siku 4 zilizopita – Mkuu wa mkoa huyu yupo Tabora na ni mwaka sasa anaishi hotelini 1000000/= per day iliyopo ... Mimi Rais naongea nae nikiwa bila Nguo: RC-Tabora ...


   Kauli tata sana ya RC-Tabora dhidi ya Rais wa nchi - Page 3&#8206; - 12 Apr 2012
   Kauli tata sana ya RC-Tabora dhidi ya Rais wa nchi - Page 2&#8206; - 11 Apr 2012
   Kasaka Arudi CCM! - Page 2&#8206; - 30 Jul 2006
   Matokeo zaidi kutoka jamiiforums.com »  2. [h=3]KAMANDA WA MATUKIO: NENO AU JINA BONGO FLAVA;CHANZO ...[/h]

   richard-mwaikenda.blogspot.com/.../neno-au-jina-bongo-flavachanz...Zilizo kwenye kache
   Wewe +hii 1'd kwa umma Tendua
   6 Machi 2012 – Mike Mhagama hivi sasa anaishi huko Los Angeles,California nchini Marekani. CHIMBUKO LA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA TANZANIA NA ...


  3. [h=3]KAMANDA WA MATUKIO: Saadi Gaddafi aitisha Libya[/h]

   richard-mwaikenda.blogspot.com/.../saadi-gaddafi-aitisha-libya.htmlZilizo kwenye kache
   Wewe +hii 1'd kwa umma Tendua
   11 Feb 2012 – Libya imelalamika kwa Niger, juu ya matamshi ya mtoto wa kiume wa Muammar Gaddafi ambaye sasa anaishi uhamishoni nchini Niger.


  4. [h=3]Shughuli za Siasa | IKULU BLOG[/h]

   ikulublog.com/category/shughuli-za-ikulu/shughuli-za-rais/Zilizo kwenye kache
   Wewe +hii 1'd kwa umma Tendua
   27 Nov 2011 – ... Themitope Balogun Joshua ambaye anaishi katika MAKao makuu ya Kanisa ...... Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe hotelini hapo. ... Pichani ni Mkuu mpya wa Mkoa wa Tabora. .... RC Mwanza ...


  5. It appears your Web browser is not configured to display PDF files. No worries, just click here to download the PDF file.

   
 11. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mimi sijamwelewa huyu mama hivi ni kwa sheria gani inayomruhusu rc kumwambia mtendaji kata kuwa atamweka ndani?
  hivi kumweka mtu ndani ni kufanyaje?mimi ningemwelewa kama angemwambia nitakuchukulia hatua za kisheria.

  serikali ya ccm ndiyo imeruhusu haya,atc imeliwa mpaka imeisha,kiwira alichukua mkuu,mbugani mkuu anajenga hoteli,reli wameacha mifupa kama ya samaki,viwanda vimegeuzwa magofu tunasubiri watalii waje kuanza kuyatembelea labada tutapata chochote.
  kwa nini mtendaji na mkuu wa shule wasipige za madarasa na vifaa vya shule?

  mimi nasisitiza uongozi bora.
   
 12. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Huyu mama si ni yule aliyewaambia watendaji wa serikali hawasikilizwi na rais kwa sababu wanawasiliana kwa simu ila yeye anawasiliana na rais akiwa hana nguo ndo maana anasikilizwa kila alitakalo

   
 13. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #13
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,451
  Likes Received: 4,734
  Trophy Points: 280
  mia.............
   
 14. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #14
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,451
  Likes Received: 4,734
  Trophy Points: 280
  Duh! umeua bendii...kuuumbe eeeh!
   
 15. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #15
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,451
  Likes Received: 4,734
  Trophy Points: 280
  nadhani alikua provoked
   
 16. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #16
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,451
  Likes Received: 4,734
  Trophy Points: 280
  ....watu wana data bana!@@@
   
 17. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #17
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,451
  Likes Received: 4,734
  Trophy Points: 280
  ndi maana kuna wakati hata kuvaa alikua anavaa kama festi ledi???
   
 18. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #18
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Ungejua huyu Mama alivyokuwa Kilaza tangu akiwa mwandishi wa habari wa gazeti la Majira wala usingemsifia. Lakini pole ni kwa sababu humjui vema
   
Loading...