Fatma Karume kujitosa kwenye siasa?

Fatma Karume kujitosa kwenye siasa?

Ado Shaibu

Member
Joined
Jul 3, 2010
Posts
99
Reaction score
111
"Nime-dare kuchukua kesi ya Ado kumpeleka Rais Mahakamani ili nihakikishe anafuata katiba yetu. Feleshi (Jaji Kiongozi) ananishughulikia ili kesi zote za kikatiba ninazozisimamia zikose mtu wa kuzisimamia.

May be Mungu anataka niingie kwenye kitu kingine. May be kuwa Wakili is no more a place I'm supposed to be. May be I'm supposed to be in politics. Waswahili wana msemo, ukimpiga chura teke umemuongezea mwendo. So I'm very relaxed.

Ni muda wa kutafakari. Alot of people wamenishawishi Fatma ingia kwenye politics. Nilikuwa sitaki kwa sababu niliamini naweza kuleta mabadiliko Tanzania kwa kutumia sheria. Mahakama inaniambia usijaribu, ukijaribu TUTAKUONDOA. Hiyo ndio message niliyotumiwa". Wakili Fatma Karume

Msikilize zaidi hapa chini:

"Nime-dare kuchukua kesi...

May be Mungu anataka niingie kwenye kitu kingine. May be kuwa Wakili is no more a place I'm supposed to be. May be I'm supposed to be in politics. Waswahili wana msemo, ukimpiga chura teke umemuongezea mwendo. So I'm very relaxed.

Ni muda wa kutafakari. Alot of people wamenishawishi Fatma ingia kwenye politics. Nilikuwa sitaki kwa sababu niliamini naweza kuleta mabadiliko Tanzania kwa kutumia sheria. Mahakama inaniambia usijaribu, ukijaribu TUTAKUONDOA. Hiyo ndio message niliyotumiwa". Wakili Fatma Karume...

Wewe jamaa na hicho kizungu chako cha ugoko bado sana. Kuchanganya changanya lugha ndio nini?
 
Hivi huyu mama mmewe mbona simuoni saaana au ....
 
Huyo mama ajue huwezi kushindana na serikali... labda kuwe na wananchi vichaa waandamane kama misri... kosa lolote liwe linamgusa mwananchi directly ndio kutakuwa na mabadiliko... it's up to her achague siasa au sheria.. na akiingia upinzani atapotea tu maana upepo wa sasa ni chama tawala tu... nchi ni huru hivyo hana pa kwenda kama yule mkulima na ndege yetu ambayo kwa raia ni kama zero ila kwa serikali ni mtaji wa kisiasa
 
Mimi naunga mkono aingie kwenye siasa. Kujitosa kwenye siasa hasa za upinzani kwa wakati huu kunahitaji ujasiri. Yeye ni jasiri kwa yale aliyothubutu kuyafanya kwenye sheria. Kama wanamuogopa kwenye sheria, kwenye siasa atatisha zaidi.
 
"Nime-dare kuchukua kesi ya Ado kumpeleka Rais Mahakamani ili nihakikishe anafuata katiba yetu. Feleshi (Jaji Kiongozi) ananishughulikia ili kesi zote za kikatiba ninazozisimamia zikose mtu wa kuzisimamia.

May be Mungu anataka niingie kwenye kitu kingine. May be kuwa Wakili is no more a place I'm supposed to be. May be I'm supposed to be in politics. Waswahili wana msemo, ukimpiga chura teke umemuongezea mwendo. So I'm very relaxed.

Ni muda wa kutafakari. Alot of people wamenishawishi Fatma ingia kwenye politics. Nilikuwa sitaki kwa sababu niliamini naweza kuleta mabadiliko Tanzania kwa kutumia sheria. Mahakama inaniambia usijaribu, ukijaribu TUTAKUONDOA. Hiyo ndio message niliyotumiwa". Wakili Fatma Karume

Msikilize zaidi hapa chini:

"Nime-dare kuchukua kesi ya Ado kumpeleka Rais Mahakamani ili nihakikishe anafuata katiba yetu. Feleshi (Jaji Kiongozi) ananishughulikia ili kesi zote za kikatiba ninazozisimamia zikose mtu wa kuzisimamia.

May be Mungu anataka niingie kwenye kitu kingine. May be kuwa Wakili is no more a place I'm supposed to be. May be I'm supposed to be in politics. Waswahili wana msemo, ukimpiga chura teke umemuongezea mwendo. So I'm very relaxed.

Ni muda wa kutafakari. Alot of people wamenishawishi Fatma ingia kwenye politics. Nilikuwa sitaki kwa sababu niliamini naweza kuleta mabadiliko Tanzania kwa kutumia sheria. Mahakama inaniambia usijaribu, ukijaribu TUTAKUONDOA. Hiyo ndio message niliyotumiwa". Wakili Fatma Karume

Msikilize zaidi hapa chini:

Huyu ref ajira yake kule barclays re
 
Yule mwana sheria matata aliyepigwa pini kuendelea na kazi yake ya uwakili maarufu kama shangazi wa taifa amesema sasa anajiandaa kuingia kwenye siasa rasmi.

Amesema kuwa kupitia uanasheria alikuwa anapata nafasi ya kuwatetea wananchi wanyonge na kuwarudishia utu wao walio nyang'anywa kwa kutoijua sheria lkn sasa kwa kuwa amefungiwa hilo dirisha atalitafuta lingine kupitia siasa.

Hongera sana shangazi karibu sana kwenye uwanja wa siasa ulio jaa vituko na makeke pamoja na mambo mazuri kama asali asali na machungu kama shubiri.
FB_IMG_1569228338723.jpeg
 
Akienda kugombea ubunge kule Pemba ni saa saa 3 asubuh atakuwa ameshapita Kwa Kura zote...
Serikali imebugi Sana kuruhusu huyu Dada kuingia bungeni ni Bora angebaki kule Kwenye Sheria maana atawanyoosha kwelikweli mjengoni
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom