Anapaswa kusaidiwa atoke huko,Am not a lesbian. But kama mtu anafanya private mwache afanye ni mwili wake na ni maamuzi yake pia acheni wivu.
Ingawa ikitokea mwanangu akiwa shoga nitasononeka.
Sheria ya nchi inaruhusu kuwabagua watu?Sheria ya nchi inaruhusu ndugu ? Mbona mna vichwa vigumu
Kichwa kinauma baada ya kusoma comment yako.Nini?
Ikitokea kabinti kako unakokapenda ukagundua kanatatuliwa marinda utaona poa?She is right!
Mambo mengine tuombe tuendelee kuyaona kwenye TV ila ikitokea ukayaona kwa mwanao uliemzaa sidhani kama utarudia kuandika ulichokiandika hapa.Hata kama nchi yetu itapitisha sheria ya kuwatambua hawa watu mi nitapinga mpaka mwisho wa safari yangu hapa duniani!
Ni kweli. Kumpeleka jela hakusaidii kuondoa tatizoAnapaswa kusaidiwa atoke huko,
Afundishwe kuacha dhambi,
Siyo kumbagua na kumbagua km ss hatuna madhambi
Ikitokea kabinti kako unakokapenda ukagundua kanatatuliwa ******* utaona poa?
Na wewe acha mbwembwe na ujuaji.Jamaa, jifunze kuandika kitu ukizingatia Brevity. Get to the point, ngonjera ndeeeefu kumbe point iko mwisho, tena screenshot, unapoyltezea watu muda kusoma lirisala lako hilo la nn?
Halafu kulala na baba ni 'INCEST', na kwenye post yake hajataja incests, na kulala na wanyama ni 'BEASTIALITY', pia hajaitaja kwenye post yake, acha kumuwekea maneno mdomoni.
Ila na-support hoja kwamba homosexuality si kitu cha kucheka nacho, lazima kipigwe vita kwa nguvu zote
Narudia tena vitendo vya kishoga mm sitaviunga mkono kwa namna yeyote ile kwa sababu ni mwanao ndo afanye ujinga ww mzazi uchekelee tu?Mambo mengine tuombe tuendelee kuyaona kwenye TV ila ikitokea ukayaona kwa mwanao uliemzaa sidhani kama utarudia kuandika ulichokiandika hapa.
Kwa ile video kama ni mwanao utaomba mbingu zipasuke.
Ila kwakuwa haijatokea kwenye familiya yako kenua meno yote na uombe mungu akunyime uzazi.
Kwa hyo utakabagua au utakasaidia kuacha,Ikitokea kabinti kako unakokapenda ukagundua kanatatuliwa ******* utaona poa?
Na tusiwatendee ubaya,tuwasaidie watoke huko,tusijifanye ss bora kuliko wao,Ni kweli. Kumpeleka jela hakusaidii kuondoa tatizo
Kuna jambo nadhani hatuelewani,Narudia tena vitendo vya kishoga mm sitaviunga mkono kwa namna yeyote ile kwa sababu ni mwanao ndo afanye ujinga ww mzazi uchekelee tu?
In pope's voice.Kuna jambo nadhani hatuelewani,
Siyo kuviunga mkono,ni
1:kutowatenda km wanyama,kuwadharilisha na kuwatenga
2:kutoina hii km dhambi pekee ya kuwanyooshea watu vidole ,na dhambi zingine tuzichukulie kwa uzito huo
Nani amesema siyo dhambi au kukompare which one is big or not.....sasa kwanini aseme wazi wazi anal sex ni fresh tuu as if siyo issue ni mambo ya kawaida katika jamii na sheria za nchi ....tumia ubongo kufikir siyo #tumboHakuna dhambi na ww unayoifanya,
Acha unafki,
Dhambi ni dhambi