Fatma Karume, kubali umeteleza

Fatma Karume, kubali umeteleza

Wanafiki wengi sana. Unakuta mtu anakgonga tigo ya mwanamke lkn hapa anakemea ushoga. Upuuzi mtupu
WENGINE WANAJISIFU HUMU KILA SIKU JINSI WANAVYOFAIDI TIGO ZA WAKE ZAO.

LAKINI LINAPOKUJA SWALA LA USHOGA WANAKUWA VIMBELEMBELE KULETA HEKAYA ZA SODOMA NA GOMORA.

DUH! Hahahahaahah
 
sasa binti kulala na babakr mzazi na ngono ya watu wawili gays ama lesbians vina mfanano upi!!!!,

gays ama lesbians wao ndivyo walivyo hawavutiwi wala hawapendi kuwa na mahusiano na watu wa jinsia tofauti, wanafall in love na watu wa jinsia moja na wao

hiyo haimaanishi kwamba wao ni watovu wa maadili kwelikwli

na haimaanishi kuwa wana malezi mabaya kwelikweli ama ni watu wabaya kwelikweli,

mbona wapo wengi tu na listi ,inatajwa sasa angalia uoya listi zitajazwo utaona kuna hadi watu wenye heshima zao kwenye jamii, ndio uelewe mtu kuwa gay ama lesbian hakuna uhusiano na ukosefu wa maadili
UMEELEZA HII KITU KITAALAMU SANA MKUU ...NA NI WACHACHE SANA WANAOWEZA KUKUELEWA.

LAKINI MANGUMBARU WENGI HUMU WATAISHIA KULALAMA TU KAMA MAJUHA.
 
Wewe ni moja ya wanawake wenye elimu nzuri. Mwanamke jasiri na mwenye uthubutu wa kuongea jambo lolote ukiliona halijakaa sawa. Elimu yako na sifa zingine lukuki ndizo zimekupa heshima kubwa kwenye jamii ya kitanzania.

Nafahamu wewe ni mwanasheria na una uelewa mpana kuhusu fani hiyo. Unajua kuwa sheria zipo kwa ajili ya kuifanya jamii iishi kwa amani bila kuvunjiana haki za watu. Lakini pia unaelewa kabisa zipo haki ambazo mtu huweza kuzidai ambazo zitauvua utu wa mtu na kudhalilisha watu wengine.

Mimi ni miongoni mwa watu ninaopendezwa na mengi uyafanyayo na uyateteayo lakini sasa naona unataka kuboronga. Naomba usimalize vibaya na kujivunjia heshima yako ambayo sisi vijana tulikuwa tunakupa. Vinginevyo tuwe tulikujua tofauti na ulivyo lakini bila shaka najua uliteleza.

Hatuwezi ruhusu kila kitu kwa kigezo cha haki na maamuzi binafsi ya mtu. Embu fikiria kama tukiruhusu mambo unayoyatetea unadhani nini kitatokea.

Embu fikiria turuhusu Mtoto wa kike alale na Baba yake mzazi unadhani utu wa mtu utakuwa wapi? Kisa tu ni mambo binafsi ya watu. Embu fikiria mtu afanye mapenzi na mnyama unadhani utu wa mtu utakuwa wapi? Embu fikiria sasa hivi hapo wewe utembee na mwanao wa kiume eti kisa tu ni haki na mambo yako binafsi unadhani utu wako utakuwa wapi?

Kujua sheria kusikufanye ukavuka mipaka ya asili. Ukavunja kanuni za asili ambazo zimewekwa na Mungu(sio kwa umuhimu).
Tunahitaji wanawake kama ninyi mpiganie mambo ya msingi. Mambo kama Haki za wanawake, haki za watoto, na mambo mengine. Lakini si kutetea ujinga na upuuzi.

Kujua sherias sio kutetea Uovu na kudhalilisha utu wa mtu. Nilitegemea Mama kama wewe ungetumia muda wako kutoa elimu za kisheria na matamko makali ya kuonya kuhusu tabia za ushoga na usagaji. Ukiwa kama Mzazi wengi wangefurahi kukuona ukiwashauri wadada wanaotupa picha za uchi mitandanoni waache kwani wanadhalilisha jinsia ya kike ukiwemo wewe.

Lakini matokeo yake umepuyanga na kuteleza katika utelezi wa kimagharibi. Sikulaumu wala sikushutumu kwa ulilolitenda kwani najua huenda uliteleza.

Nitakulaumu endapo hutafuta kauli yako. Na ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wako. Maliza vizuri kwa heshima. Wewe si binti tena mpaka uongozwe na mihemko hivyo busara ikutawale umalizapo zamu yako.

Heshima uliyonayo ni kubwa kwenye jamii ndio maana hata Ukachaguliwa na wanasheria wenzako kuwaongoza kwa mwaka huu.

Hii ilitosha kukufungua akili jinsi Watanzania wanavyokuheshimu. Sasa unapofanya mambo haya kiukweli unanipa mashaka mimi na wengine wenye akili za mfano wangu ambao bila shaka ni wengi.

Hatukusoma ili tuudhalilishe utu wetu. Hatukupata nafasi za juu ili tuifanye jamii yetu kuwa ya kinyama. Mambo ya hivyo tuwaachie mataifa mengine. Kama yupo anayependa mambo hayo tutamsaidia kumpa uhamisho aende akaishi huko ili afanye bila shida.

Hata hivyo serikali ni kama imepoa sana kiasi kwamba inaachia baadhi ya mambo yaenda kiholela. Udhalilishaji wa kina mama umekua kwa kiasi kikubwa. Sasa naona unahamia kwa wanaume.
Nilitamani kusikia wanasiasa, wanaharakati, na viongozi wa dini wakipinga mambo haya kwa nguvu zote. Ushoga na kutuma picha za uchi mitandaoni.

Lakini Mhe. Fatuma umeingia katika kundi la wanaowatetea. Haki ndio wanayo lakini si katika taifa hili. Kama unawaonea huruma basi iombe serikali ikupe ruhusa uwahamishia katika nchi zinazokubaliana na mambo hayo

Mhe. Fatuma Karume, ni matumaini yangu kuwa Andiko hili hutoshindwa kulielewa hakika. Nafahamu unahekima ambayo haitashindwa kuona mahali ulipokosea. Muungwana hukubali maonyo bila kujali anaonywa na nani. Usiwavunje moyo vijana wanaokuchukulia kama Role model wao.

Ikufikie ulipo.
View attachment 920312
hata muuaji anapewa wakili na jamhuri amtetee na sometime huyo muuaji anakuwa anashinda kesi
je,unafahamu miiko na tamaduni za mwanasheria???
ina maana asimtetee mtu kisa yupo kinzani na jamii yake?
ingekuwa hivyo hata wakamatwa na madawa ya kulevya na wauajj wasingekuwa wanapewa/wanaruhusiwa kuwa na mawakili
fatma yupo sahihi sanaaaaaaaaaaa
 
Pamoja na kwamba siupendi ushoga but nakubaliana na Shangazi, watu wazima wakiamua kufanya mambo yao chemba let them..
Wangeyaacha huko huko chemba wasingefuatwa na mtu. Hawa wanayaanika kwenye mitandao ya kijamii. Jambo ukishaliweka wazi shuruti lijadiliwe ima kwa kupongezwa au kukosolewa.
 
KUYAANIKAJE KWENYE MTANDAO!?
 
Umempa ushauri mzuri sana aisee mwenyewe naona kateleza kwa hili limemshushia heshima yake ingekuwa kwa wazungu sawa na sio Tanzania. Hii TLS wamezidi siasa na uharakati wa vtu visivo na msingi.
 
Umeona eeeh sasa mbona kabadili gear angani tena
huyo fatma karume nilikuwa namuheshimu kwa taaluma yake lakini kuanzia leo namuona ni mnafiki wa kiwango cha tanzania , yeye ndo alikuwa namba moja kama sio mbili kumkandia jokate alipochaguliwa na mkulu kuwa dc kwamba tanzania inapoteza sifa kwa kuwateua wakaa uchi mitandaoni leo
 
Mbona hivo vtu watu wanafanya faragha sasa kila mtu akijpost mtandaoni ifakuwaje in the name of uhuru wa mtu
Pamoja na kwamba siupendi ushoga but nakubaliana na Shangazi, watu wazima wakiamua kufanya mambo yao chemba let them..
 
TLS wamesema mtazamo wa shangazi sio wa chama ni mambo yake binafsi wao hawapo kwny hayo mambo ya mifirano
 
Umeandika hadithi ndeefu isiyo na kichwa.wewe hii ndiyo imekuumiza kuliko machafu yanayofanywa dunia hii pole.watu wanabakà wàtoto,mauaji ya kutisha ,watu kutekwà n.k..watu wenye akili wakakubaliana kufanya mambo ya kijinga wewe mwenye akili unatoa povu la nini.yako yanakuhusu.
 
Asilimia kubwa ya watu walio JF wengi angalau wamepiga piga umande,inasikitisha mtu mwanaume kabisa rejari anasuport eti kila mtu afanye yake na kumsupport shangazi? Elimu muda mwingine haiwezi kukukomboa inakuongezea ujinga,uhuru ni sawa ila siyo kwa Ushoga
 
Wewe ni moja ya wanawake wenye elimu nzuri. Mwanamke jasiri na mwenye uthubutu wa kuongea jambo lolote ukiliona halijakaa sawa. Elimu yako na sifa zingine lukuki ndizo zimekupa heshima kubwa kwenye jamii ya kitanzania.

Nafahamu wewe ni mwanasheria na una uelewa mpana kuhusu fani hiyo. Unajua kuwa sheria zipo kwa ajili ya kuifanya jamii iishi kwa amani bila kuvunjiana haki za watu. Lakini pia unaelewa kabisa zipo haki ambazo mtu huweza kuzidai ambazo zitauvua utu wa mtu na kudhalilisha watu wengine.

Mimi ni miongoni mwa watu ninaopendezwa na mengi uyafanyayo na uyateteayo lakini sasa naona unataka kuboronga. Naomba usimalize vibaya na kujivunjia heshima yako ambayo sisi vijana tulikuwa tunakupa. Vinginevyo tuwe tulikujua tofauti na ulivyo lakini bila shaka najua uliteleza.

Hatuwezi ruhusu kila kitu kwa kigezo cha haki na maamuzi binafsi ya mtu. Embu fikiria kama tukiruhusu mambo unayoyatetea unadhani nini kitatokea.

Embu fikiria turuhusu Mtoto wa kike alale na Baba yake mzazi unadhani utu wa mtu utakuwa wapi? Kisa tu ni mambo binafsi ya watu. Embu fikiria mtu afanye mapenzi na mnyama unadhani utu wa mtu utakuwa wapi? Embu fikiria sasa hivi hapo wewe utembee na mwanao wa kiume eti kisa tu ni haki na mambo yako binafsi unadhani utu wako utakuwa wapi?

Kujua sheria kusikufanye ukavuka mipaka ya asili. Ukavunja kanuni za asili ambazo zimewekwa na Mungu(sio kwa umuhimu).
Tunahitaji wanawake kama ninyi mpiganie mambo ya msingi. Mambo kama Haki za wanawake, haki za watoto, na mambo mengine. Lakini si kutetea ujinga na upuuzi.

Kujua sherias sio kutetea Uovu na kudhalilisha utu wa mtu. Nilitegemea Mama kama wewe ungetumia muda wako kutoa elimu za kisheria na matamko makali ya kuonya kuhusu tabia za ushoga na usagaji. Ukiwa kama Mzazi wengi wangefurahi kukuona ukiwashauri wadada wanaotupa picha za uchi mitandanoni waache kwani wanadhalilisha jinsia ya kike ukiwemo wewe.

Lakini matokeo yake umepuyanga na kuteleza katika utelezi wa kimagharibi. Sikulaumu wala sikushutumu kwa ulilolitenda kwani najua huenda uliteleza.

Nitakulaumu endapo hutafuta kauli yako. Na ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wako. Maliza vizuri kwa heshima. Wewe si binti tena mpaka uongozwe na mihemko hivyo busara ikutawale umalizapo zamu yako.

Heshima uliyonayo ni kubwa kwenye jamii ndio maana hata Ukachaguliwa na wanasheria wenzako kuwaongoza kwa mwaka huu.

Hii ilitosha kukufungua akili jinsi Watanzania wanavyokuheshimu. Sasa unapofanya mambo haya kiukweli unanipa mashaka mimi na wengine wenye akili za mfano wangu ambao bila shaka ni wengi.

Hatukusoma ili tuudhalilishe utu wetu. Hatukupata nafasi za juu ili tuifanye jamii yetu kuwa ya kinyama. Mambo ya hivyo tuwaachie mataifa mengine. Kama yupo anayependa mambo hayo tutamsaidia kumpa uhamisho aende akaishi huko ili afanye bila shida.

Hata hivyo serikali ni kama imepoa sana kiasi kwamba inaachia baadhi ya mambo yaenda kiholela. Udhalilishaji wa kina mama umekua kwa kiasi kikubwa. Sasa naona unahamia kwa wanaume.
Nilitamani kusikia wanasiasa, wanaharakati, na viongozi wa dini wakipinga mambo haya kwa nguvu zote. Ushoga na kutuma picha za uchi mitandaoni.

Lakini Mhe. Fatuma umeingia katika kundi la wanaowatetea. Haki ndio wanayo lakini si katika taifa hili. Kama unawaonea huruma basi iombe serikali ikupe ruhusa uwahamishia katika nchi zinazokubaliana na mambo hayo

Mhe. Fatuma Karume, ni matumaini yangu kuwa Andiko hili hutoshindwa kulielewa hakika. Nafahamu unahekima ambayo haitashindwa kuona mahali ulipokosea. Muungwana hukubali maonyo bila kujali anaonywa na nani. Usiwavunje moyo vijana wanaokuchukulia kama Role model wao.

Ikufikie ulipo.
View attachment 920312

Binafsi si tu kwamba amenisikitisha pekee bali ameniangusha sana kama siyo mno. Hata hivyo nayaheshimu ' Maamuzi ' yake kama ambavyo hata Yeye pia amekuwa akiyaheshimu yetu pia. Tuvumiliane tu pale ambapo tukiwa tunajenga Hoja ili kuonyesha Ukomavu wetu.
 
TLS wamesema mtazamo wa shangazi sio wa chama ni mambo yake binafsi wao hawapo kwny hayo mambo ya mifirano
hahahaa

ZEE LA VIFIRO NAKUONA TU UNAJITAHIDI SANA KUJITAKATIFUZA LEO KUPITIA MGONGO WA FATMA.
 
Back
Top Bottom