Kamtumikia mnyonge gani,mwambie arudishe vya wanyonge alivyopora huko Zanzibar,pia tuambie kipi alichotutumikia ,tafadhali usilete porojo tuambie ABC hicho unachosema,au ndio kazi kuitikia tu vibwagizo sababu huyu mwananamke kuichukia serikali?Bibi yake,baba zake,na yeye mwenyewe ndio walitakiwa watushukuru sisi,kwani wao ndio wanaokula keki,kikiumana hapa yeye na uzao wake ndio wa kwanza kupanda ndege,huyu sio mwenzetu kama anavyotaka kujinasibu,chuki zote hizo ni baada ya mjomba wake kutolewa mkuku CCM.Kama kweli yeye anawajali wanyonge mwambie awarudishie mashamba aliowapora huko kwao kwa kutumia mgongo wa baba yake,huyu ndie alikuwa mshauri mkuu asiye rasmi wa baba yake,hana lolote huyo mwanamke.Pia mnapoandika vitu msikurupuke tu,hivi wewe unamjua huyu mdada au ndio umemsikia tu hivi karibuni,tunamjua kutoka akiwa kwa mzee Mkono si leo kama wewe unayeimba kama kasukuMh Fatma Mungu akubariki Sana Kwa kuwatumikia watanzania wanyonge
Amesajiliwa kuwa wakili binafsi mwaka 1993 or around that period. Yupo vizuri, ila kweli elimu yake ni UK kwa sana. Nasikia pia ni member of UK bar association. Namkubali. Walisema ukimuua mwanaharakati mmoja wazaliwa elfuKwani hajakaa Tanzania muda mrefu huyu shangazi!!!???
Amesajiliwa kuwa wakili binafsi mwaka 1993 or around that period. Yupo vizuri, ila kweli elimu yake ni UK kwa sana. Nasikia pia ni member of UK bar association. Namkubali. Walisema ukimuua mwanaharakati mmoja wazaliwa elfu
Mwambieni mfalme jiwe tunataka maelezo ya 1.5??halafu aache kunyonya wafanyakazi,alituambia tupo kwenye ''layiti tiraki'' vipi tena kutoongeza mshahara pamoja na kuwafukuza vyeti feki,hewa ,,hela ziko wapiKamtumikia mnyonge gani,mwambie arudishe vya wanyonge alivyopora huko Zanzibar,pia tuambie kipi alichotutumikia ,tafadhali usilete porojo tuambie ABC hicho unachosema,au ndio kazi kuitikia tu vibwagizo sababu huyu mwananamke kuichukia serikali?Bibi yake,baba zake,na yeye mwenyewe ndio walitakiwa watushukuru sisi,kwani wao ndio wanaokula keki,kikiumana hapa yeye na uzao wake ndio wa kwanza kupanda ndege,huyu sio mwenzetu kama anavyotaka kujinasibu,chuki zote hizo ni baada ya mjomba wake kutolewa mkuku CCM.Kama kweli yeye anawajali wanyonge mwambie awarudishie mashamba aliowapora huko kwao kwa kutumia mgongo wa baba yake,huyu ndie alikuwa mshauri mkuu asiye rasmi wa baba yake,hana lolote huyo mwanamke.Pia mnapoandika vitu msikurupuke tu,hivi wewe unamjua huyu mdada au ndio umemsikia tu hivi karibuni,tunamjua kutoka akiwa kwa mzee Mkono si leo kama wewe unayeimba kama kasuku
Kamrithi babu yake. Hababaishi, hana njaa, amesoma vizuri, ana sura nzuri. Amekamilika kabisa. Nini kimzuie kujiamini.Mh Fatma Mungu akubariki Sana Kwa kuwatumikia watanzania wanyonge
Kwanza Bara sio sehemu sahihi yeye kufanya huo uana harakati wake.!
Aliwahi nukuliwa akisema Muungano hauko sawa so anaposema "Nchi yetu"! sijui ana maanisha ipi Coz ipo nyingine.9 Eti ina Katiba yake, wimbo, Rais, wanadai hata na mipaka yake..
Kisha waliambiwa sio Nchi wakataka kuandamana.
Na yeye anatoka huko.!
So Nchi anayoisemea kuwa Nchi yetu sijui kwa dhati ni ipi.
Kwa Upande wa Tanzani JPM.
Ndio rais wetu, ubora wake tunaujua sisi Watanzania Wengi tulio Mchagua.
Na anayoyafanya tunapendezwa nayo sisi watanzania Wengi Tulio Mchagua.!
Kwani Zanzibar hakuna Rais..? Mbona mnajiita wazanzibar zaidi badala ya Watanzania? Mbona mnang'anga'ania kutambulika kwa Uzanzibar zaidi badala ya Utanzania.?
Huo Utanzania mnauona wa maana mkiwa tu maslahi yenu..?
Hamuoni haya wala vibaya dhulumati wakubwa nyie.!![emoji19]
Mnaoona chenu chenu ila chetu kiwe vyetu..!
Hata kama hiyo sijui mnayoita sheria na taratibu zinaruhusu lakini Mjue kuna watu kutoka bara hawa jisikii huru huyo Fatma wenu kuwa rais wa TLS.!
Kama vile ambavyo Wanzanzibar wasingejisikia poa kama Mtanzania kutoka bara angekuwa anaongoza ZLS.!
Ni vema tungeondoa hizi serikali mbili na kuwa na Nchi Moja Na serikali moja tu inayoitwa Serikali ya Jamhuri ya Tanzania.!
Political mentor wenu aliwambia bila matusi na maneno ya kukera hamuwezi kuwa wanasiasa wazuriTanzania bila zanzibar sio tanzania anatumia passport ya wap mkuu akiwa nje anasema au kutambulika wa wapi huyo naona kaubaguzi kamekunza mbona tupo na samia tulikua na shein bilali ila karume inakuuma tulia we acha ubaguzi bwege we jipange
Yaani anachoongea upuuzi mtupu, halafu eti hajui kiswahili, ujinga wa ufipa
MfkUnagombana kwa upuuzi we ndo utakua mpuuzi cha maana ndo mana unashindwa kuongea kwa hoja we ndo waonekana mpuuzi zaid kujibu kwa yeye mnzazibar
Dhaifu.....Wewe wasema
We jinsia gani..Hivi KArume Jr hanaga mtoto wa kiume!? I just want to know by my interest only!
Mmmmmh!mbona wanasema yule muzeiya siyo babake A A.Hapa hakuna cha kupima DNA wala nini! Huyu kweli ni mjukuu wa Sheikh Abeid Karume. Mwanamapinduzi mpinga uonevu, unyanyasaji, na utawala wa mabavu! Kila la heri Fatma...taifa linakuhitaji mnoo wakati huu!