Kamtumikia mnyonge gani,mwambie arudishe vya wanyonge alivyopora huko Zanzibar,pia tuambie kipi alichotutumikia ,tafadhali usilete porojo tuambie ABC hicho unachosema,au ndio kazi kuitikia tu vibwagizo sababu huyu mwananamke kuichukia serikali?Bibi yake,baba zake,na yeye mwenyewe ndio walitakiwa watushukuru sisi,kwani wao ndio wanaokula keki,kikiumana hapa yeye na uzao wake ndio wa kwanza kupanda ndege,huyu sio mwenzetu kama anavyotaka kujinasibu,chuki zote hizo ni baada ya mjomba wake kutolewa mkuku CCM.Kama kweli yeye anawajali wanyonge mwambie awarudishie mashamba aliowapora huko kwao kwa kutumia mgongo wa baba yake,huyu ndie alikuwa mshauri mkuu asiye rasmi wa baba yake,hana lolote huyo mwanamke.Pia mnapoandika vitu msikurupuke tu,hivi wewe unamjua huyu mdada au ndio umemsikia tu hivi karibuni,tunamjua kutoka akiwa kwa mzee Mkono si leo kama wewe unayeimba kama kasuku