Kwani anasema uongo, wamdhuru waone cha mtemakuniAchunge steps!!
Achunge steps!!
Narudia tena achunge steps, asiwe mlopokaji kama yule mbeligijiChunga kwanza ww kalio lako..
View attachment 762207
Atafanywaje mtoto Wa ikuluNarudia tena achunge steps, asiwe mlopokaji kama yule mbeligiji
Ukiona na vi tv vya mitandaoni ujue anayeongea na kinachoongelewa hakina maanaKama kaqaida, kwenye mambo ya maana ni Tv za mitandaini tu ndiyo zinakwenda.
Yule mliyetaka kumuua kwa kumpiga risasi?Narudia tena achunge steps, asiwe mlopokaji kama yule mbeligiji
Ushalewa mbege?Ukiona na vi tv vya mitandaoni ujue anayeongea na kinachoongelewa hakina maana
Wewe wasemaYule mliyetaka kumuua kwa kumpiga risasi?
Akili za wapi sijui hizi??/Narudia tena achunge steps, asiwe mlopokaji kama yule mbeligiji