lolypop
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,425
- 1,689
Mtatishia watu mpaka lini. Basi tuueni wote ubakize familia yako ili uitawaleAchunge steps!!
Mtatishia watu mpaka lini. Basi tuueni wote ubakize familia yako ili uitawaleAchunge steps!!
WEWE NI NANI MPAKA UNAMTISHIA?Narudia tena achunge steps, asiwe mlopokaji kama yule mbeligiji
Huyu ana lindwa na serikali ya Baba Abeid Karume. Sio kama atashambuliwa kiuni uniNgoja maroboti ya Lumumba yaamke!!
Waliosema kenge hasikii hadi damu zimtoke hawakukosea kwani Jiwe anataka kunywa damu!! !
Kwani Zanzibar hakuna Rais..? Mbona mnajiita wazanzibar zaidi badala ya Watanzania? Mbona mnang'anga'ania kutambulika kwa Uzanzibar zaidi badala ya Utanzania.?Maoni ya kijinga sana haya!
Unasema Fatma sio mtanzania! Kwa maana hiyo ni mzanzibari. Sasa mbona unasema JPM ni rais wa Tanzania badala ya kusema Tanganyika??!
Ukikosa cha kuongea kaa kimya tu!
Mamaake ndivyo alivyo kwambia?Huyu ni mwana wa Karume na Nyerere!
Huyu ana defensive kiasi kwa icon ya jina lake though tabu atakutana nazo tu.Kwani anasema uongo, wamdhuru waone cha mtemakuni
Kweli Mkuu,hilo ndio tatizo hasa la CCM,sera za hichi chama na mtazamo wao kwa raia ni kwamba tajiri ni bepari,ubepari ni uhalifu kwahiyo utajiri ni uhalifu,..Watu wa bara tuna tatizo la msingi...nalo ni ujamaa ambao upo chini ya dikteta
Nakuona mkuuWatanzania tuna haki ya kuongea kwa mujibu wa katiba. Big up 'mwanaharakati' wetu.
Yaani anachoongea upuuzi mtupu, halafu eti hajui kiswahili, ujinga wa ufipaUkiona na vi tv vya mitandaoni ujue anayeongea na kinachoongelewa hakina maana
Atajinadi vipi wakati kiswahili hajui?Namuomba huyu awe mgombea mwenza Ukawa. Naomba kweli anafaa. Au Maalim Sef ampe agombee tu Rais wa Zanzibar.
steps zimekuwa mifugo"""?Achunge steps!!
Kidampa ndiyo nini?Sawa kidampa
acha ubashitelism..Narudia tena achunge steps, asiwe mlopokaji kama yule mbeligiji