Fatma Karume katika ubora wake

Fatma Karume katika ubora wake

Kwanza Bara sio sehemu sahihi yeye kufanya huo uana harakati wake.!
Aliwahi nukuliwa akisema Muungano hauko sawa so anaposema "Nchi yetu"! sijui ana maanisha ipi Coz ipo nyingine.9 Eti ina Katiba yake, wimbo, Rais, wanadai hata na mipaka yake..
Kisha waliambiwa sio Nchi wakataka kuandamana.
Na yeye anatoka huko.!

So Nchi anayoisemea kuwa Nchi yetu sijui kwa dhati ni ipi.

Kwa Upande wa Tanzani JPM.
Ndio rais wetu, ubora wake tunaujua sisi Watanzania Wengi tulio Mchagua.
Na anayoyafanya tunapendezwa nayo sisi watanzania Wengi Tulio Mchagua.!
 
Maoni ya kijinga sana haya!

Unasema Fatma sio mtanzania! Kwa maana hiyo ni mzanzibari. Sasa mbona unasema JPM ni rais wa Tanzania badala ya kusema Tanganyika??!

Ukikosa cha kuongea kaa kimya tu!
 
Namuomba huyu awe mgombea mwenza Ukawa. Naomba kweli anafaa. Au Maalim Sef ampe agombee tu Rais wa Zanzibar.
 
Hapa hakuna cha kupima DNA wala nini! Huyu kweli ni mjukuu wa Sheikh Abeid Karume. Mwanamapinduzi mpinga uonevu, unyanyasaji, na utawala wa mabavu! Kila la heri Fatma...taifa linakuhitaji mnoo wakati huu!
Hahhaahaha mkuu mbona umewaza kuhusu di eni ei,? Haki amerithi vyema
 
Kwanza Bara sio sehemu sahihi yeye kufanya huo uana harakati wake.!
Aliwahi nukuliwa akisema Muungano hauko sawa so anaposema "Nchi yetu"! sijui ana maanisha ipi Coz ipo nyingine.9 Eti ina Katiba yake, wimbo, Rais, wanadai hata na mipaka yake..
Kisha waliambiwa sio Nchi wakataka kuandamana.
Na yeye anatoka huko.!

So Nchi anayoisemea kuwa Nchi yetu sijui kwa dhati ni ipi.

Kwa Upande wa Tanzani JPM.
Ndio rais wetu, ubora wake tunaujua sisi Watanzania Wengi tulio Mchagua.
Na anayoyafanya tunapendezwa nayo sisi watanzania Wengi Tulio Mchagua.!
😀😀😀 mmmmh,, hebu nikatafute bamia,nitafute sembe nisonge ugari nile....
 
Kwanza Bara sio sehemu sahihi yeye kufanya huo uana harakati wake.!
Aliwahi nukuliwa akisema Muungano hauko sawa so anaposema "Nchi yetu"! sijui ana maanisha ipi Coz ipo nyingine.9 Eti ina Katiba yake, wimbo, Rais, wanadai hata na mipaka yake..
Kisha waliambiwa sio Nchi wakataka kuandamana.
Na yeye anatoka huko.!

So Nchi anayoisemea kuwa Nchi yetu sijui kwa dhati ni ipi.

Kwa Upande wa Tanzani JPM.
Ndio rais wetu, ubora wake tunaujua sisi Watanzania Wengi tulio Mchagua.
Na anayoyafanya tunapendezwa nayo sisi watanzania Wengi Tulio Mchagua.!
Wewe mama wewe...kwani wapi kazungumzia jpm au muungano..!!
 
Back
Top Bottom