Fatma Karume katika ubora wake

Fatma Karume katika ubora wake

Huyu mama sijui huwa anaongea nini? nazisoma hisia kali kwenye uso wake na alama za mikono yake lakini hana muunganiko mzuri wa maneno yamkini labda kiswahili hajui kama hajui basi angee lugha anayoifahamu kwa ufasaha ili watu tumwelewe!!? unaweza kukuta na kiingereza yupo hivyo hivyo ninatamani sana nione hotuba yake ya kiingereza na TLS mwaka huu hawakuonyesha video za hotuba za kuomba kura kama mwaka jana. Unaweza kukuta ana tatizo la vijana wengi waliosoma nje ambapo kiingereza hajui vizuri, kiswahili amepoteza basi anabaki kuwa kama mtu mwenye kigugumizi cha lugha.
 
Hapa hakuna cha kupima DNA wala nini! Huyu kweli ni mjukuu wa Sheikh Abeid Karume. Mwanamapinduzi mpinga uonevu, unyanyasaji, na utawala wa mabavu! Kila la heri Fatma...taifa linakuhitaji mnoo wakati huu!

you took my day., hakuna kupima DNA huyu ni mjukuu halisi wa sheikh abeid karume...
 
Huyu mama sijui huwa anaongea nini? nazisoma hisia kali kwenye uso wake na alama za mikono yake lakini hana muunganiko mzuri wa maneno yamkini labda kiswahili hajui kama hajui basi angee lugha anayoifahamu kwa ufasaha ili watu tumwelewe!!? unaweza kukuta na kiingereza yupo hivyo hivyo ninatamani sana nione hotuba yake ya kiingereza na TLS mwaka huu hawakuonyesha video za hotuba za kuomba kura kama mwaka jana. Unaweza kukuta ana tatizo la vijana wengi waliosoma nje ambapo kiingereza hajui vizuri, kiswahili amepoteza basi anabaki kuwa kama mtu mwenye kigugumizi cha lugha.

Huyu mama aliathirika sana kule Uingereza ni katika wazanzibari waliochipukia kule lakini pia wakiwa na mapoz ya kujifanya wazungu waswahili na sasa ndio anaonekana waziwazi kwamba amelemaa na hiyo situation ingawa ni msomi mzuri wa sheria.

Mimi ananiudhi kwamba anachukua muda mwingi kuelezea kitu kidogo ingawa anaongea kwa logic. Tundu Lissu huongea kisheria mambo mengi kwa muda mfupi sana na akaeleweka.
 
Ni kweli nimejitahidi sana kutafuta video zake za kiingereza tupu nione lakini sikufanikiwa. Maana kama chenyewe anajua kuongea kilichonyooka hakuna shida. Shida itakuja pale ambapo na chenyewe unakuta hawezi kunyoosha na kujikuta katikaki kiingereza hawezi kunyoosha ,kiswahili hawezi kunyoonya na kubakia mtu wa kuongea kwa ishara na maneno machache yasiokuwa na mtiririko mzuri wa lugha moja. Ubongo unataka lakini mdomo unashindwa kutamka
 
Nawaambia tena acheni kusema anatetea wanyonge.......kwa kipi? Mnajua dhuluma wanazofanyiwa wanyoge na mawakili huko Mahakamani? Omba usikutane naye huko akiwa ameajiriwa na wenye pesa. Hawa watu ni wabaya sana hapa nchini. Hapo wanalinda anga zao kwa vitisho kwani wanajua wazi enzi hizi hawatafanya wanachotaka mahakamani kwa sababu tuna kiongozi anayethubutu kuwasema hadharani na kudeal nao
 
Huyu mama sijui huwa anaongea nini? nazisoma hisia kali kwenye uso wake na alama za mikono yake lakini hana muunganiko mzuri wa maneno yamkini labda kiswahili hajui kama hajui basi angee lugha anayoifahamu kwa ufasaha ili watu tumwelewe!!? unaweza kukuta na kiingereza yupo hivyo hivyo ninatamani sana nione hotuba yake ya kiingereza na TLS mwaka huu hawakuonyesha video za hotuba za kuomba kura kama mwaka jana. Unaweza kukuta ana tatizo la vijana wengi waliosoma nje ambapo kiingereza hajui vizuri, kiswahili amepoteza basi anabaki kuwa kama mtu mwenye kigugumizi cha lugha.
Mkuu,lakini lugha anayoongea Fatma Karume si imefanana na lugha inayoongelewa Bungeni,hii lugha naiita "SwahiEnglish",..tafuta video ya JP Maguli katika hotuba yake kule Uganda aliongea lugha gani,..wasikilize akina Bashe wanaongea lugha gani bungeni...

Afadhali huyu dada amekuwa mkweli amesema mbele ya wandishi wa habari kuwa hayuko vizuri kiswahili kama anavyotaka awe..
 
Kama hayuko vizuri kwenye kiswahili sio tatizo na wala simlaumu kwa hilo!!! kwa nini asiongee lugha ambayo yupo vizuri ili ujumbe unyooke? kuna baadhi ya watu wanaongea kiswanglish lakini wanaweza ku connect idea na mtiririko wa mazungumzo yakanyooka, kwao hao kuchomekea maneno ya kiingereza kwenye hotuba ya kiswahili ni mwembwe za kutaka kujionyesha anakijua lakini kwa huyu dada inaonekana anatumia nguvu nyingi sana kutafuta neneo la kiswahili mpaka anaharibu mtiririko wa maongezi. Kwa sasa angalau kwenye kusikia karibia asilimia 90 ya watanzania wanasikia kiingereza tatizo limebaki kwenye kuongea na kuandika na uthibitisho ni hata kama mtu ahajasoma darasa lolote anaweza kufuatilia move za kizungu na kuelewa kila kitu, Basi mshaurini huyo dada basi awe anaongea hotuba kwa kiingereza? kwani kiingereza si bado ni mojawapo ya official language bongo?
 
Nafikiri ujumbe aliwakusudia uwafikia watanzania wanaoonewa na kunyanyaswa,ambao ni watanzania wa hali ya chini,na ndio maana kama umemsikiliza vizuri, katika hiyo video Fatma Karume alisema kuwa kiswahili anachongea alitaka aongee vizuri zaidi,..

Huyu Dada ni mzanzibari hakuna mzanzibari asieongea kiswahili,..alichokusudia kusema kuwa ujumbe ambao anataka kuutuma anaona kama kiswahili chake anachooongea hakitoshi kuuufikisha ujumbe kwa walengwa..

Sasa wewe unataka aongee Kingereza!?kufikisha ujumbe wake kwa watanzania..!?
 
Back
Top Bottom