Kauli yake haina maneno ya kihuni haina matusi. Haina kejeli. Usilinganishe haraka haraka.Huyu mama ni moto kama Lissu
Hapa hakuna cha kupima DNA wala nini! Huyu kweli ni mjukuu wa Sheikh Abeid Karume. Mwanamapinduzi mpinga uonevu, unyanyasaji, na utawala wa mabavu! Kila la heri Fatma...taifa linakuhitaji mnoo wakati huu!
Huyu mama sijui huwa anaongea nini? nazisoma hisia kali kwenye uso wake na alama za mikono yake lakini hana muunganiko mzuri wa maneno yamkini labda kiswahili hajui kama hajui basi angee lugha anayoifahamu kwa ufasaha ili watu tumwelewe!!? unaweza kukuta na kiingereza yupo hivyo hivyo ninatamani sana nione hotuba yake ya kiingereza na TLS mwaka huu hawakuonyesha video za hotuba za kuomba kura kama mwaka jana. Unaweza kukuta ana tatizo la vijana wengi waliosoma nje ambapo kiingereza hajui vizuri, kiswahili amepoteza basi anabaki kuwa kama mtu mwenye kigugumizi cha lugha.
Ni kweli nimejitahidi sana kutafuta video zake za kiingereza tupu nione lakini sikufanikiwa. Maana kama chenyewe anajua kuongea kilichonyooka hakuna shida. Shida itakuja pale ambapo na chenyewe unakuta hawezi kunyoosha na kujikuta katikaki kiingereza hawezi kunyoosha ,kiswahili hawezi kunyoonya na kubakia mtu wa kuongea kwa ishara na maneno machache yasiokuwa na mtiririko mzuri wa lugha moja. Ubongo unataka lakini mdomo unashindwa kutamkaHuyu mama aliathirika sana kule Uingereza ni katika wazanzibari waliochipukia kule lakini pia wakiwa na mapoz ya kujifanya wazungu waswahili na sasa ndio anaonekana waziwazi kwamba amelemaa na hiyo situation ingawa ni msomi mzuri wa sheria.
Mimi ananiudhi kwamba anachukua muda mwingi kuelezea kitu kidogo ingawa anaongea kwa logic. Tundu Lissu huongea kisheria mambo mengi kwa muda mfupi sana na akaeleweka.
Kwahiyo wewe ndo unauwa watu??? Upuuzi sasa huuNarudia tena achunge steps, asiwe mlopokaji kama yule mbeligiji
Naona bora agombee urais wa Zanzjbar tuone Jecha atafanya nini?Namuomba huyu awe mgombea mwenza Ukawa. Naomba kweli anafaa. Au Maalim Sef ampe agombee tu Rais wa Zanzibar.
Mkuu,lakini lugha anayoongea Fatma Karume si imefanana na lugha inayoongelewa Bungeni,hii lugha naiita "SwahiEnglish",..tafuta video ya JP Maguli katika hotuba yake kule Uganda aliongea lugha gani,..wasikilize akina Bashe wanaongea lugha gani bungeni...Huyu mama sijui huwa anaongea nini? nazisoma hisia kali kwenye uso wake na alama za mikono yake lakini hana muunganiko mzuri wa maneno yamkini labda kiswahili hajui kama hajui basi angee lugha anayoifahamu kwa ufasaha ili watu tumwelewe!!? unaweza kukuta na kiingereza yupo hivyo hivyo ninatamani sana nione hotuba yake ya kiingereza na TLS mwaka huu hawakuonyesha video za hotuba za kuomba kura kama mwaka jana. Unaweza kukuta ana tatizo la vijana wengi waliosoma nje ambapo kiingereza hajui vizuri, kiswahili amepoteza basi anabaki kuwa kama mtu mwenye kigugumizi cha lugha.
What happpened to her grand dad?Kwani anasema uongo, wamdhuru waone cha mtemakuni
Huyu mama ni moto kama Lissu
Vitisho na uchawi ndio silaha pekee ya masikini .Narudia tena achunge steps, asiwe mlopokaji kama yule mbeligiji
Kama walichokiona kwa Lisu.Kwani anasema uongo, wamdhuru waone cha mtemakuni
Kama hayuko vizuri kwenye kiswahili sio tatizo na wala simlaumu kwa hilo!!! kwa nini asiongee lugha ambayo yupo vizuri ili ujumbe unyooke? kuna baadhi ya watu wanaongea kiswanglish lakini wanaweza ku connect idea na mtiririko wa mazungumzo yakanyooka, kwao hao kuchomekea maneno ya kiingereza kwenye hotuba ya kiswahili ni mwembwe za kutaka kujionyesha anakijua lakini kwa huyu dada inaonekana anatumia nguvu nyingi sana kutafuta neneo la kiswahili mpaka anaharibu mtiririko wa maongezi. Kwa sasa angalau kwenye kusikia karibia asilimia 90 ya watanzania wanasikia kiingereza tatizo limebaki kwenye kuongea na kuandika na uthibitisho ni hata kama mtu ahajasoma darasa lolote anaweza kufuatilia move za kizungu na kuelewa kila kitu, Basi mshaurini huyo dada basi awe anaongea hotuba kwa kiingereza? kwani kiingereza si bado ni mojawapo ya official language bongo?Mkuu,lakini lugha anayoongea Fatma Karume si imefanana na lugha inayoongelewa Bungeni,hii lugha naiita "SwahiEnglish",..tafuta video ya JP Maguli katika hotuba yake kule Uganda aliongea lugha gani,..wasikilize akina Bashe wanaongea lugha gani bungeni...
Afadhali huyu dada amekuwa mkweli amesema mbele ya wandishi wa habari kuwa hayuko vizuri kiswahili kama anavyotaka awe..
Correction.....nadhani ulikuwa una maanisha ni Tunu ya TLS.Tunu ya Taifa
Nafikiri ujumbe aliwakusudia uwafikia watanzania wanaoonewa na kunyanyaswa,ambao ni watanzania wa hali ya chini,na ndio maana kama umemsikiliza vizuri, katika hiyo video Fatma Karume alisema kuwa kiswahili anachongea alitaka aongee vizuri zaidi,..Kama hayuko vizuri kwenye kiswahili sio tatizo na wala simlaumu kwa hilo!!! kwa nini asiongee lugha ambayo yupo vizuri ili ujumbe unyooke? kuna baadhi ya watu wanaongea kiswanglish lakini wanaweza ku connect idea na mtiririko wa mazungumzo yakanyooka, kwao hao kuchomekea maneno ya kiingereza kwenye hotuba ya kiswahili ni mwembwe za kutaka kujionyesha anakijua lakini kwa huyu dada inaonekana anatumia nguvu nyingi sana kutafuta neneo la kiswahili mpaka anaharibu mtiririko wa maongezi. Kwa sasa angalau kwenye kusikia karibia asilimia 90 ya watanzania wanasikia kiingereza tatizo limebaki kwenye kuongea na kuandika na uthibitisho ni hata kama mtu ahajasoma darasa lolote anaweza kufuatilia move za kizungu na kuelewa kila kitu, Basi mshaurini huyo dada basi awe anaongea hotuba kwa kiingereza? kwani kiingereza si bado ni mojawapo ya official language bongo?
Shwain wewe...Correction.....nadhani ulikuwa una maanisha ni Tunu ya TLS.
Ok kumbe unamaanisha ni TUNU wa PINDA. Asante kwa ufafanuzi.Shwain wewe...
Na maanisha ni TUNU ya Taifa