Fatma Karume: How lack of checks and balances in CCM affects Tanzania

Jecha ni mzanzibari sio mtanzania bara tukome watu wa bara.Alipofuta mzanzibari mwenzao sisi bara tulikaa kimya maana ni mambo yao na nchi yao wako huru kujipigia kura au kufuta uchaguzi hata matokeo yao.
Kwa maana hiyo Rais JPM sio Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania ?
 
Mambo aliyoandika Fatma Karume ni ya Tanzania bara.Akome yeye ni raia wa nchi huru ya Zanzibar. akaandike mambo ya nchini kwake atukome watu wa Tanzania bara.Tukiwa na matatizo yetu tutayamaliza wenyewe.Ya kwao nchi ya Zanzibar yameisha hadi aparamie ya Tanzania bara?
Na madaktari wa Kitanzania waliopo Botswana, Rwanda, USA na hawa wanao enda Kenya nao warudi cause magonjwa Tanzania hayajaisha so why waende nchi nyingine!?
 
Mambo aliyoandika Fatma Karume ni ya Tanzania bara.Akome yeye ni raia wa nchi huru ya Zanzibar. akaandike mambo ya nchini kwake atukome watu wa Tanzania bara.Tukiwa na matatizo yetu tutayamaliza wenyewe.Ya kwao nchi ya Zanzibar yameisha hadi aparamie ya Tanzania bara?
Bila Zanzibar hakuna Tanzania bali kuna Tanganyika?unasema aandike mambo ya Zanzibar kisha unasema ayaache ya Tanzania bara badala ya Tanganyika..we zuzu kweli.
 
View attachment 487350 Hongera Fatma,msema kweli mpenzi wa Mungu.

Makonda alichongwa na Kikwete,Magufuli ni mrithi tu.

Kikwete siyo kwamba aliwafukuza wazee kwenye kamati kuu.Pia aliwafukuza wasomi ,aliwatoa kwa kisingizio cha ufisadi akina Chenge,Rostam na mama Tibaijuka na wengine walioonekana wanamawazo pevu .Hivi kama ufisadi kuna fisadi zaidi ya Kikwete?

Rais Kikwete huyo huyo bila aibu akawalinda wezi halisi wa ESCROW kupitia Benki ya STANBIC.

Niwazi alikua hataki mtu yeyote mwenye uwezo na ujasiri wa kufikiri na kushauri kuwa karibu naye.

Paul Makonda alichongwa na Rais Kikwete mwenyewe akiwa Rais.Mnakumbuka alipo mpiga jaji Warioba ,Kikwete akazawadia zawadi ya ukuu wa wilaya Kinondoni.Laana iyo inatosha kumtoa Kikwete na vijana wake kupitia Rais Magufuli.
Duh ! Huyu ni dada wa kizungu au Mzanzibari ?!
 
Mambo aliyoandika Fatma Karume ni ya Tanzania bara.Akome yeye ni raia wa nchi huru ya Zanzibar. akaandike mambo ya nchini kwake atukome watu wa Tanzania bara.Tukiwa na matatizo yetu tutayamaliza wenyewe.Ya kwao nchi ya Zanzibar yameisha hadi aparamie ya Tanzania bara?
Wewe ni wa Taifa gani?
 
Pole sana. Kama mlilijua hilo, mlimpaje umakamu Dr. Bilali? Acha Karume amwage nyongo!
 
Bi. Fatuma Karume nimesoma yote ulioyaandika kuhusu CCM na baadhi nakubaliana na wewe, ila nakuomba ili uwe fair na kuleta uwiano sawa yaani 1:1 kati ya CCM na Upinzani, pia ufanye kwa vyama vya Upinzani kama ulivyofanya kwa CCM, jaribu pia kupekenyua na kufunua kila kitu kwenye hivyo vyama vingine vya Siasa kama chadema, CUF, au sijui ACT ya Zito Kabwe, chambua hivyo hivyo kuanzia demokrasia, hiyo checks and balances , Katiba, haki za Wanachama kwenye hivyo vyama n.k. halafu mwisho utuambie ni Chama kipi kina moral authority ya kuongoza hii nchi, au uache tu logic ituongoze, hauna haja ya kusema ni Cham kipi kinafaa, ila chambua tu chadema halafu wacha wananchi waaamue ...
CHADEMA na vyama vingine vya upinzani mkuu havina dola!Kwa maana ya kwamba havina serikali na haviongozi serikali iliyopo madarakani hivyo basi udhaifu au kutokuwepo kwa checks and balances ndani ya vyama hivyo haviadhiri moja kwa moja utendaji wa serikali kama mwandishi anavyoelezea.CCM ni chama dola na nadhani hiyo ndiyo premise ya mleta mada ...Rejea kichwa cha habari yenyewe "How lack of checks and balances in CCM affects TZ!"
Ombwe hili la "Checks and balances ndani ya CCM linaathari hasi kwa TZ na ndio maana mwandishi analielezea kama tatizo la msingi na anatutaka sisi kama raia kuchukua jukumu la kuhakikisha tuna itask serikali pale inapopoka haki za msingi za kikatiba na kiraia kama ambavyo zimeainishwa kwenye katiba ya nchi yetu kwa vile ndani ya chama chenyewe (CCM) hakuna mechanisms za kufanya hivyo!.Lingine ni kwamba udhaifu huu kwenye CCM haunegate haja ya vyama hasa vyama vikubwa vya upinzani kujitafakari na kuendeleza juhudi za kujenga mifumo imara ndani ya vyama vyao itakayo hakikisha kuwa kuna checks and balances.....Na wana nafasi ya kufanya hivyo kabla havijawa vyama dola siku za usoni.Kwa upande mwingine kukosekana na checks and balances ndani ya CCM kumeshakinyima chama hicho "moral authority" ya kuongoza nchi hii kwa vile ndani ya chama tawala kunakosekana sauti zenye nguvu na ushawishi katika ku advance "voice of reason and moderation"
 
Lakini kama Chama kinachojiandaa kushika Dola ni lazima kionyeshe kwamba kipo tofauti! Ni rahisi kuisema CCM na kuirushia makombora yote, na ni sawa, lkn Je huko kwingine kukoje? Kwa maana mwisho wa siku tunataka Watanzania waamue kulingana na ukweli wa pande zote mbili, hivyo kuisema CCM na kuviacha Vyama vya Upinzani ambavyo vinapaswa kuonyesha kwamba ni zaidi ya CCM, siyo fair na wala haitoi majibu watu wanayoyataka!

Hivyo kama lengo lake lilikuwa kutuambia kwamba CCM haifai kwa sababu alizozitaja na nakubaliana kwa kiasi fulani khs mapungufu ya CCM , lkn pia atuambie Chama kipi kinatufaa badala ya CCM na kwa nini? Akiweke kwenye radar pia na kukichambua kama aliichambua CCM, ili tulinganishe, hiyo ndiyo fair ness vinginevyo ni bla blah tu ambazo kila mtu anaweza kuzisema!!
 
Barbarosa Kila contention ina premise yake.Nia ya mwandishi haikuwa kutengeneza mizania ya mifumo ya "checks and balances" ndani ya vyama vya siasa vilivyopo Tanzania!Naimani kuwa lengo lake lilikuwa kuaininsha athari za udhaifu huu alioubaini ndani ya chama tawala na jinsi ambavyo udhaifu huu unavyoweza kutungarimu kama nchi (Taifa Tanzania)
Dhana unayoitaka ambayo naweza kuiita co-premise si lazima itumike katika kuelezea dhana mbili zenye ukweli unaothibitisha uhalali wa hoja husika!
 
Mambo aliyoandika Fatma Karume ni ya Tanzania bara.Akome yeye ni raia wa nchi huru ya Zanzibar. akaandike mambo ya nchini kwake atukome watu wa Tanzania bara.Tukiwa na matatizo yetu tutayamaliza wenyewe.Ya kwao nchi ya Zanzibar yameisha hadi aparamie ya Tanzania bara?
Issue hapa alichosema ni kweli au sio kweli! Duh najaribu kuvuta taswira unapotumia hili neno "akome" mdomo umeuwekaje afu unakuwa umevaa kanga au gauni!!!! Nahisi kama la kina mama mama hivi. Uko unaweza kuwa sasa, lakini utakuwa sahihi zaidi kama wewe ni mmama.
 
Hupendi Muungano?!
Muungano naupenda ila kwenye mambo yasiyo ya kimuungano tusiingiliane huyo mzanzibari abakie kuongea ya kwao akome kabisa. Nyerere alikuwa akiwalea lea hayupo kilichopo ni kizazi kipya ambacho hatuendekezi ujinga mambo ya uvuvi sio jambo la muungano wao wamejaa bara wanavua samaki na kuuza wamejaa hadi soko la samaki ferry pia ardhi si swala la muungano wao wamejaa wanamiliki ardhi na mashamba Tanzania bara nawasihi wazanzibari aina ya fatuma karume wasituchokonoe kizazi kilichopo sasa sio cha kuchokonoa hovyo hovyo. Hawamjui Nyerere wala karume. Wakichafuka fatuma karume atavurumushwa atoke bara akatafute kazi ya uwakili Zanzibar kwao awaachie ajira watanzania bara. Namuonya tena kizazi hiki sio kile cha akina nyerere waliokuwa wakilea na kuibembeleza familia ya karume
 
Mambo aliyoandika Fatma Karume ni ya Tanzania bara.Akome yeye ni raia wa nchi huru ya Zanzibar. akaandike mambo ya nchini kwake atukome watu wa Tanzania bara.Tukiwa na matatizo yetu tutayamaliza wenyewe.Ya kwao nchi ya Zanzibar yameisha hadi aparamie ya Tanzania bara?

mbona mapovu yanakutoka? sasa kama muna nchi yenu Tz bara mbona ndege ya kuchunguza mafuta zanzibar mumeizuia?? Ni ipi ajenda yenu kuanzisha TRA kule zanzibar mukiendelea kuzitafuna kodi za nchi ya Zanzibar ilahi Tanzania bara ni nchi nyengine huru inayojitegemea?? Kwanini TRA haikuishia chumbe?.
 
Jecha ni mzanzibari sio mtanzania bara tukome watu wa bara.Alipofuta mzanzibari mwenzao sisi bara tulikaa kimya maana ni mambo yao na nchi yao wako huru kujipigia kura au kufuta uchaguzi hata matokeo yao.
Nje ya Muunhano hakuna kitu kinaitwa Zanzobar. Ni Pemba na Unguja tu. Nakukimbusha tu Mh.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom