Fatma Karume: How lack of checks and balances in CCM affects Tanzania

Bila kumtaja Mh. Makonda anajua msingempa kiki.

Angeenda kuuliza kosa la Nape kwanza, au kujifikirisha na kujua kulikuwa na mengi nyuma ya pazia. Sio kujiandikia tu

Makonda oyeeeeee
 
Mambo aliyoandika Fatma Karume ni ya Tanzania bara.Akome yeye ni raia wa nchi huru ya Zanzibar. akaandike mambo ya nchini kwake atukome watu wa Tanzania bara.Tukiwa na matatizo yetu tutayamaliza wenyewe.Ya kwao nchi ya Zanzibar yameisha hadi aparamie ya Tanzania bara?
Neno "akome" linatumiwa na mwanamke au 50/50 ya mwanamme. Sijui uko kundi gani mwenzetu!
 
Bila kumtaja Mh. Makonda anajua msingempa kiki.

Angeenda kuuliza kosa la Nape kwanza, au kujifikirisha na kujua kulikuwa na mengi nyuma ya pazia. Sio kujiandikia tu

Makonda oyeeeeee
Wewe Malaya Nape haja foji vyeti wala hakuvamia clouds, emu tuondelee utetezi wako wakipumbavu
 
Mambo aliyoandika Fatma Karume ni ya Tanzania bara.Akome yeye ni raia wa nchi huru ya Zanzibar. akaandike mambo ya nchini kwake atukome watu wa Tanzania bara.Tukiwa na matatizo yetu tutayamaliza wenyewe.Ya kwao nchi ya Zanzibar yameisha hadi aparamie ya Tanzania bara?
kumbe CCM na Magufuli wapo tanzania bara tu???
 
Mambo aliyoandika Fatma Karume ni ya Tanzania bara.Akome yeye ni raia wa nchi huru ya Zanzibar. akaandike mambo ya nchini kwake atukome watu wa Tanzania bara.Tukiwa na matatizo yetu tutayamaliza wenyewe.Ya kwao nchi ya Zanzibar yameisha hadi aparamie ya Tanzania bara?
Aiseee
 
Watu wa design hii ndiyo walitakiwa kuwa viongozi. Siyo hawa conservative and primitive walioko CCM!!
 
Mambo aliyoandika Fatma Karume ni ya Tanzania bara.Akome yeye ni raia wa nchi huru ya Zanzibar. akaandike mambo ya nchini kwake atukome watu wa Tanzania bara.Tukiwa na matatizo yetu tutayamaliza wenyewe.Ya kwao nchi ya Zanzibar yameisha hadi aparamie ya Tanzania bara?
Tanzania Bara ndio nchi gani na je inatambulika kimataifa?
 
Bila kumtaja Mh. Makonda anajua msingempa kiki.

Angeenda kuuliza kosa la Nape kwanza, au kujifikirisha na kujua kulikuwa na mengi nyuma ya pazia. Sio kujiandikia tu

Makonda oyeeeeee

Kweli lugha ya malikia ni tatizo. Yaani na kingereza chako yes and no umeona Makonda katajwa humo.

Naipenda quote moja hapa JF: Ficha Upumbavu wako na uoneshe busara zako. I guess its probably the best advice you can keep into your head.
 
Wewe Malaya Nape haja foji vyeti wala hakuvamia clouds, emu tuondelee utetezi wako wakipumbavu

Jisikitikie kwa maisha yako unayokuja kutupia maneno machafu humu, acha uvivu fanya kazi. Unatia kichefuchefu kwa lugha na maneno machafu juu ya uchafu uliokujaa mwilini na kukunukia.

Shame on you
 
Kweli lugha ya malikia ni tatizo. Yaani na kingereza chako yes and no umeona Makonda katajwa humo.

Naipenda quote moja hapa JF: Ficha Upumbavu wako na uoneshe busara zako. I guess its probably the best advice you can keep into your head.

Hiyo quote imekurudia kwa mbio haswaaaaaaaaaaaaaa

Na sibadili nilichoandika, hata kama wewe unashinda unaongea hiyo lugha endelea kuiongea mimi kikwetu na kiswahili ndio najifunza

Mfwyuuuu
 
Mambo aliyoandika Fatma Karume ni ya Tanzania bara.Akome yeye ni raia wa nchi huru ya Zanzibar. akaandike mambo ya nchini kwake atukome watu wa Tanzania bara.Tukiwa na matatizo yetu tutayamaliza wenyewe.Ya kwao nchi ya Zanzibar yameisha hadi aparamie ya Tanzania bara?
Rudia tena
 
Kuishi bara hakumwondolei uzanzibari wake.Akome kuandika habari za Tanzania bara.Za zanzibar aziandike atakavyo atajuana na wazanzibari wenzie wala hatutamwingilia maana wao ni nchi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom