Fatma Karume aonya Gwajima kuaminika kama mtetea haki, akumbushia suala la kutaka kubadilisha misikiti kuwa makanisa!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
57,242
Reaction score
90,300
Hili suala la utekaji linazidi kuchukua sura mpya, Fatma Karume ameibuka na kusema Gwajima sio mtu wa kuaminika katika kutetea haki kwa sababu kuna wakati alitaka kuwanyang'anya Waislamu haki yao kuabudu aliposema atabadilisha misikiti kuwa makanisa!

Sikuwahi kujua Fatma Karume ni mshika dini hivi maana mara nyingi nilikuwa namuona akipigania kwa nguvu sana haki za wapenzi wa jinsia moja! Hivi karibuni alitangaza kupumzika katika mitandai ya kijamii kwa ajili ya ibada sijui ni Hija au Umra huko Mecca!
Screenshot_20250601-170658_X.jpg
 
View attachment 3352836
Gwajima ni mhubiri na askofu wa dini ya kikristo na anaamini kwa Yesu. Sidhani kama akisema anataka kubadilisha msikiti uwe shule ya kusomesha ukristo ni offensive. Hivyo ndivyo imani yake na maandiko yake yanavyomtuma afanye. Unataka ahubiri uislam?
 
Kuna watu huwa unawaamini wana akili ila hoja wanazokuja nazo hazina mashiko kabisa
 
Hili suala la utekaji linazidi kuchukua sura mpya, Fatma Karume ameibuka na kusema Gwajima sio mtu wa kuaminika katika kutetea haki kwa sababu kuna wakati alitaka kuwanyang'anya Waislamu haki yao kuabudu aliposema atabadilisha misikiti kuwa makanisa!

Sikuwahi kujua Fatma Karume ni mshika dini hivi maana mara nyingi nilikuwa namuona akipigania kwa nguvu sana haki za wapenzi wa jinsia moja! Hivi karibuni alitangaza kupumzika katika mitandai ya kijamii kwa ajili ya ibada sijui ni Hija au Umra huko Mecca!
View attachment 3352836
Maneno ya Fatuma ni tafsiri yake binafsi na sio, maana ya maneno ya Gwajima. Sasa kwenye Sheria kuna neno moja wanapenda kulitumia Mens rea yaani dhumuni la mtuhumiwa lilikuwa ni kutenda kosa au sio kutenda kosa. Sasa hapa dhumuni la Shangazi aka dada wa Taifa ni nini.
 
Hili suala la utekaji linazidi kuchukua sura mpya, Fatma Karume ameibuka na kusema Gwajima sio mtu wa kuaminika katika kutetea haki kwa sababu kuna wakati alitaka kuwanyang'anya Waislamu haki yao kuabudu aliposema atabadilisha misikiti kuwa makanisa!

Sikuwahi kujua Fatma Karume ni mshika dini hivi maana mara nyingi nilikuwa namuona akipigania kwa nguvu sana haki za wapenzi wa jinsia moja! Hivi karibuni alitangaza kupumzika katika mitandai ya kijamii kwa ajili ya ibada sijui ni Hija au Umra huko Mecca!
View attachment 3352836
Wapo wale wa mfumo kristo walitaka nchi igawanywe kabisa..
Au tumeshasahau ndugu zangi watanganyika.
Hivyo Shangazi Fatma kwenye hili tulia.

Fidel Castro alipokaribia kuchukua Havana aliwapa proper instructions wanajeshi wake wasiuwe Tena mainjinia, architect na wataalamu mbalimbali kwa kuwaambia kuwa sasa wanachukua nchi watawahitaji sana.
Na sisi Kwa wakati huu tunamhitaji Gwajima sana hivyo mambo yake yote tunaweza kuyafumbia macho.
 
Huyo fatma Karume anaelewa vizuri tu alichokuwa anamaanisha Gwajima ni kuwahubiria watu wabadilike wao na wabadilishe nyumba zao za ibada kwa hiyari yao.
 
Hili suala la utekaji linazidi kuchukua sura mpya, Fatma Karume ameibuka na kusema Gwajima sio mtu wa kuaminika katika kutetea haki kwa sababu kuna wakati alitaka kuwanyang'anya Waislamu haki yao kuabudu aliposema atabadilisha misikiti kuwa makanisa!

Sikuwahi kujua Fatma Karume ni mshika dini hivi maana mara nyingi nilikuwa namuona akipigania kwa nguvu sana haki za wapenzi wa jinsia moja! Hivi karibuni alitangaza kupumzika katika mitandai ya kijamii kwa ajili ya ibada sijui ni Hija au Umra huko Mecca!
View attachment 3352836
Kwa comment hii ya shangazi, Zitto hajakurupuka kumshambulia Gwajima kupitia bendera ya Israel. They mean business.
 
Ni hawayani tu wanaweza kuamini hadaa za Gwajima.

Aliewadanganya watu kuwa amepewa nguvu ya kufufua watu (misukule), Kanisa la Ufufuo na Uzima;

Aliewadanganya watu wa Kawe kuwa akiwa Mbunge, Eti atawapeleka wanakawe wengi Ulaya na atawanunuliwa mitambo ya kukarabati barabara zao, hawatategemea tena Serikali..!

Ni Mtu wa hovyo kwa watu wa hovyo.
 
Back
Top Bottom