Fataki!

Status
Not open for further replies.

rakeyescarl

JF-Expert Member
Dec 9, 2007
481
145
Jamani naomba mwenye picha ya Fataki(anaye act kula vitoto vya watu kwenye radio) naomba msaada!
 
We wa nini?
Anyway, huyu hapa.
fataki.jpg
 
hehehehe
isije ikawa yeye ndo huyo fataki anataka tu kuthibitisha kama tunayo pichaye hapa
 
Kwanini wanaume wakiigiza wanazengea binti/mdada/mwali/au mwanamke yeyote huwa wanaweka mikono mfukoni? kuna nini ndani ya filosofi ya kuweka mikono mfukoni?
mix with yours
 
Kwanini wanaume wakiigiza wanazengea binti/mdada/mwali/au mwanamke yeyote huwa wanaweka mikono mfukoni? kuna nini ndani ya filosofi ya kuweka mikono mfukoni?
mix with yours
mkuu vitoto vinataka fweza na fweza inakaa mifukoni? mbona fiffy akiimba ile nyimbo ya PIMP anashika nanihii yake?kuonyesha msisitizo ile kitu iko wapi...
yangu mawazo mwanawane
 
Kama unataka picha ya fataki ni MAKAMBA hujasikia mbakaji alimbaka binti na kumpa mimba akafukuzwa uwalimu mkuu!!? check news Na anaendeleza mchezo huo
 
Hivi wale wanaorubuni vijana wa kiume wanaitwa nani vile! au nao ni FATAKI!
 
Jamani naomba mwenye picha ya Fataki(anaye act kula vitoto vya watu kwenye radio) naomba msaada!

Ingawa sina uhakika, inasemekana ni msanii Mrisho Mpoto mwenye rasta na anayependelea kuvaa mavazi ya asili ya Kitanzania
 
nawashukuru wote,nimempata mwana jf amenipaptia jinsi ya kumpata.
God bless you all.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom