CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Nashukuru sana mkuu,ngoja niwahi kufanya booking..this time nimedhamiria nikapate mchemsho wa Sato original toka Ziwani! Nitakua Malaika pale..
Safisana.Namuona twiga pale pembeni bado kapiga mbonji hata haelewi kinachoendelea
Kwahiyo sikukuu hii imekula kwangu! Mpaka february tena ndio booking? jamani sio kweli kama booking zimejaa, ki ukweli nafasi zipo ila bei ndo utapangiwa kutokana na ukaribu wako wa kusafiri, mfano uki book week mbili kabla ya safari , unaweza lipa 86000, ikiwa too soon unaweza lipa 120000, nafasi za 32000 ndo zimejaa kwa hivi karibuniQUOTE]
kukodi haimaanishi unakodi zilizotumika. unaweza kukodi ndege mpya kabisa.Siyo ndege mpya, ni zilizotumika na wamekodi
jamani kuna halmashauri hapa nchini hazifai, tumeajiliwa tangu mwaka 2005,mpaka sasa hatujapindishwa daraja mnamo mwaka jana mwezi wa kumi tulipewa barua za kukubali madaraja na mwisho wa siku wakadai tuludishe barua zote. Kwa hiyo mpaka sasa madaraja hayajapanda na mkurugenzi ni mbishikupandisha watu madaraja.
jamani kuna halmashauri hapa nchini hazifai, tumeajiliwa tangu mwaka 2005,mpaka sasa hatujapindishwa daraja mnamo mwaka jana mwezi wa kumi tulipewa barua za kukubali madaraja na mwisho wa siku wakadai tuludishe barua zote. kwa hiyo mpaka sasa madaraja hayajapanda na mkurugenzi ni mbishikupandisha watu madaraja.
Siyo ndege mpya, ni zilizotumika na wamekodi
Achana na malaika kwenye samaki wa kwenye fridge..... njoo MALIKUSEMA utapaata Sato Fresh¡¡¡¡¡¡¡
jamani kuna halmashauri hapa nchini hazifai, tumeajiliwa tangu mwaka 2005,mpaka sasa hatujapindishwa daraja mnamo mwaka jana mwezi wa kumi tulipewa barua za kukubali madaraja na mwisho wa siku wakadai tuludishe barua zote. kwa hiyo mpaka sasa madaraja hayajapanda na mkurugenzi ni mbishikupandisha watu madaraja.
jamani kuna halmashauri hapa nchini hazifai, tumeajiliwa tangu mwaka 2005,mpaka sasa hatujapindishwa daraja mnamo mwaka jana mwezi wa kumi tulipewa barua za kukubali madaraja na mwisho wa siku wakadai tuludishe barua zote. kwa hiyo mpaka sasa madaraja hayajapanda na mkurugenzi ni mbishikupandisha watu madaraja.
wewe jamaaa madaraja watu wanajivusha! kama mkurugenzi ni mbishi jipandishe mwenyewejamani kuna halmashauri hapa nchini hazifai, tumeajiliwa tangu mwaka 2005,mpaka sasa hatujapindishwa daraja mnamo mwaka jana mwezi wa kumi tulipewa barua za kukubali madaraja na mwisho wa siku wakadai tuludishe barua zote. kwa hiyo mpaka sasa madaraja hayajapanda na mkurugenzi ni mbishikupandisha watu madaraja.
jamani kuna halmashauri hapa nchini hazifai, tumeajiliwa tangu mwaka 2005,mpaka sasa hatujapindishwa daraja mnamo mwaka jana mwezi wa kumi tulipewa barua za kukubali madaraja na mwisho wa siku wakadai tuludishe barua zote. kwa hiyo mpaka sasa madaraja hayajapanda na mkurugenzi ni mbishikupandisha watu madaraja.
Michael Jackson alipofariki ukabadirisha jina na kujiita papa wemba? Kwa akili yako ndege mpya na 'used' tofauti yake unaiangalia wapi?
Michael Jackson alipofariki ukabadirisha jina na kujiita papa wemba? Kwa akili yako ndege mpya na 'used' tofauti yake unaiangalia wapi?
Hapana, huyu mwenzetu katumia ubunifu, amegundua viongozi wengi wanapenda kusafiri kwa ndege, kwa hiyo akiweka uzi wake hapa basi ni lazima utasomwa. na kwa kweli ujumbe wake umeefikahii nayo inahusu fast jet mkuu,au umechanganya desa comrade?......ok sio mbaya ujumbe wako utawafikia tu pande hizi za fast jet huwa wanapita pia.......au kama vipi andika barua ya kuomba uhamisho kutoka ktk hiyo halmashauri ya wabaniaji chief....pole bana pambana.
Jaman mi napenda kujua inafanya safari za wapi vp nawapi naomb kujua tuwasiliane 0715 00 54 50